Waafrika wamemiminika kwa wingi sana huko Dubai inawezekana waarabu wanagawa ela na tende !
Nchi nyingi za afrika wamepeleka ujumbe mkubwa sana pasipo ulazima wowote tofauti na USA na Europe au Asia !
Afrika kupiga hatua kubwa kimaendeleo itakuwa ndoto