Wanamuziki wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo waliotangulia mbele ya haki

Makasi Mingi Mukulu eza byee..bana LUNDA
 
Huyu jamaa alikuwa mchawi wa Saxophone kwenye TP Ok Jazz...kwenye wimbo wa Ida, Franco alichomeka mstari "Loway, lelela ngai papa", halafu zinafuata Sax

By the way umemsahau Le Poet Lutumba Simaro
pia ndiiye alikuwa mpangiliaji wa mziki na aliyepiga sax kwenye wimbo wa mpongo love ndaya
 
Jean Baron sijaona jina lake hapo. Ni marehemu muda sasa.
 
Mrembo wa kundi la nouvelle generation chini ya muciana demingongo alikua anaitwa Jenna Mandako alifariki late 90's. Pia ni mmoja ya wale wadada wa kwenye wimbo wa kanda bongoman (Muchana).
Kuna dada mmoja wa Bozi Boziana enzi za "nzawisa" kati ya wale wawili naye alifariki. Kulikuwa na Scola na yule mwingine. Sijui ni yupi kati yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…