Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Mayaula Mayoni alishafariki. Alifia Brussels, Belgium.Nyboma na Mayaula Mayoni sina hakika kama bado wako hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayaula Mayoni alishafariki. Alifia Brussels, Belgium.Nyboma na Mayaula Mayoni sina hakika kama bado wako hai
Makasi Mingi Mukulu eza byee..bana LUNDAWalitangulia mbele ya haki miaka ya 19**
1. Bavon Marie Marie ( 26 ) 1970
2. Grand Kalle ( 53 ) 1983
3. Nico Kasanda ( 46 ) 1985
4. Franco Luambo ( 51 ) 1989
5. Soki Dinzenza ( 36 ) 1990
6. Soki Vangu ( 43 ) 1990
7. Empompo Loway ( 44 ) 1990
8. Mpongo Love ( 34 ) 1990
9. Abert Masikini ( 40 ) 1994
10. Bokelo Isenge ( 55 ) 1995
11. Ntesa Dallienst ( 49 ) 1996
12. Madiata ( 57 ) 1997
13. Pepe Kalle ( 46 ) 1998
14. Lengi Langa ( 44 ) 1998
Walitangulia mbele ya haki miaka ya 20**
15. Dindo Yogo ( 45 ) 2000
16. Madilu System ( 57 ) 2007
17. Charles Mombaya ( 50 ) 2007
18. Wendo Kolosoy ( 83 ) 2008
19. Al Pacino ( 36 ) 2008
20. Bimi Ombale ( 59 ) 2011
21. Mbuta Mashakado ( 59 ) 2011
22. Debaba El Shabab ( 50 ) 2011
23. Ilo Pablo Bakunde ( 60 ) 2011
24. Ndombe Opetum ( 68 ) 2011
25. Mabele Elisi ( 54 ) 2012
26. Tabu Ley ( 73 ) 2013
27. Alain Moloto ( 52 ) 2013
28. Redo Likinga ( 59 ) 2013
29. Kester Emeneya ( 57 ) 2014
30. Marie Misamu ( 41 ) 2016
31. Papa Wemba ( 68 ) 2016
32. General Defao ( 62 ) 2021
pia ndiiye alikuwa mpangiliaji wa mziki na aliyepiga sax kwenye wimbo wa mpongo love ndayaHuyu jamaa alikuwa mchawi wa Saxophone kwenye TP Ok Jazz...kwenye wimbo wa Ida, Franco alichomeka mstari "Loway, lelela ngai papa", halafu zinafuata Sax
By the way umemsahau Le Poet Lutumba Simaro
Siku yake imeshafika.Apumzike panapostahili.Tshala Muana yupo na mwaka jana ilikua aje kutumbuiza TZ, sema covid ikazingua.
Ameshafariki jana kuamkia leo. Kwahiyo WATU tunaopenda NYIMBO ZA KIKONGO tupo katika kipindi kigumu sana 🙏🏿Tshala Muana yupo na mwaka jana ilikua aje kutumbuiza TZ, sema covid ikazingua.
Siku yake imeshafika.Apumzike panapostahili.
Ameshafariki jana kuamkia leo. Kwahiyo WATU tunaopenda NYIMBO ZA KIKONGO tupo katika kipindi kigumu sana [emoji1545]
Tshala muana ndio kadedi leoSijamuona shala mwana, lovii longomba
65 TBS33. Aurlus Mabele (50+) 2021
UKIMWI hauuwi mkuuJean de dieu makiese (madilu system)
Alikuwa fundi Sana naskia ukimwi ndo ulimuua je wajuvi ni kweli?
Daaaah mkuu uliamua kumuua huyu mama mapema sanaSijamuona shala mwana, lovii longomba
Umemsahau Josky Kiambukuta, Simaro Masiya Lutumba
Jean Baron sijaona jina lake hapo. Ni marehemu muda sasa.Walitangulia mbele ya haki miaka ya 19**
1. Bavon Marie Marie ( 26 ) 1970
2. Grand Kalle ( 53 ) 1983
3. Nico Kasanda ( 46 ) 1985
4. Franco Luambo ( 51 ) 1989
5. Soki Dinzenza ( 36 ) 1990
6. Soki Vangu ( 43 ) 1990
7. Empompo Loway ( 44 ) 1990
8. Mpongo Love ( 34 ) 1990
9. Abert Masikini ( 40 ) 1994
10. Bokelo Isenge ( 55 ) 1995
11. Ntesa Dallienst ( 49 ) 1996
12. Madiata ( 57 ) 1997
13. Pepe Kalle ( 46 ) 1998
14. Lengi Langa ( 44 ) 1998
Walitangulia mbele ya haki miaka ya 20**
15. Dindo Yogo ( 45 ) 2000
16. Madilu System ( 57 ) 2007
17. Charles Mombaya ( 50 ) 2007
18. Wendo Kolosoy ( 83 ) 2008
19. Al Pacino ( 36 ) 2008
20. Bimi Ombale ( 59 ) 2011
21. Mbuta Mashakado ( 59 ) 2011
22. Debaba El Shabab ( 50 ) 2011
23. Ilo Pablo Bakunde ( 60 ) 2011
24. Ndombe Opetum ( 68 ) 2011
25. Mabele Elisi ( 54 ) 2012
26. Tabu Ley ( 73 ) 2013
27. Alain Moloto ( 52 ) 2013
28. Redo Likinga ( 59 ) 2013
29. Kester Emeneya ( 57 ) 2014
30. Marie Misamu ( 41 ) 2016
31. Papa Wemba ( 68 ) 2016
32. General Defao ( 62 ) 2021
(Brazaville) CongoYule ni WA Libreville sio kinshasa
Tshalla Muana ulimuua kabla Ndugu. Sasa kafariki kweli.Sijamuona shala mwana, lovii longomba
Kuna dada mmoja wa Bozi Boziana enzi za "nzawisa" kati ya wale wawili naye alifariki. Kulikuwa na Scola na yule mwingine. Sijui ni yupi kati yao.Mrembo wa kundi la nouvelle generation chini ya muciana demingongo alikua anaitwa Jenna Mandako alifariki late 90's. Pia ni mmoja ya wale wadada wa kwenye wimbo wa kanda bongoman (Muchana).