Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
1. Mc Lyte, 1991
My mother put me in weusi shule which means black school in swahili MC Lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself.

2. Nas na Damian Marley, 2010
Nas and I can speak rap star
Y'all feel me even if it's in Swahili habari gani?
Damian Marley: Nzuri sana

3. Michael Jackson, 1987
Nakupenda pia nakutaka pia mpenzi we kwenye Liberian Girl.

Kiswahili kimeanza kusikika zamani sana ndani ya Matekani tangu 80's. Shukrani kwa Nyerere kuendeleza kiswahili mikoani na mbele.
 
Hata kwenye move ipo sana tu, nakumbuka move moja ya van damme na ---- young. Damme alimwambia ---- ntakutwanga wewe lakin kutokana na lafudhi wengi hawa kuelewa ila kwenye script iko wazi na wameainisha
 
Hata kwenye move ipo sana tu, nakumbuka move moja ya van damme na ---- young. Damme alimwambia ---- ntakutwanga wewe lakin kutokana na lafudhi wengi hawa kuelewa ila kwenye script iko wazi na wameainisha

Kiswahili kipo juu nakumbuka hata Nikki Minaj alishawahi kuandika kiswahili kwenye instagram.
"Madaraka kwa watu"
 
A Team kuna sehemu wanaongea Kiswahili, sehemu wanakagulia passport, nimesahau maneno exactly ila walitaja somesort of Zanzibar

Nikita kuna sehemu percy aliongea Kiswahili, sikumbuki episode ya ngapi exactly
 
A Team kuna sehemu wanaongea kiswahili, sehemu wanakagulia passport, nimesahau maneno exactly ila walitaja somesort of Zanzibar

Nikita kuna sehemu percy aliongea kiswahili, sikumbuki episode ya ngapi exactly

Umetoka Tanzania,my mother is in Tanzania, umezaliwa wapi?

Ndio bwana, baba yangu alikua mwalimu wa Kiingereza kule Zanzibar
 
Nimemsikia leo DJ John Dilinga kwenye kipindi cha mtaa wa mangoma radio one akizungumzia hii kitu na kumtaja Queen Latifa kwamba amewahi kuchomeka Kiswahili kwenye nyimbo iliyoshirikisha mastaa kibao miaka ya 80s na pia DJ JD alirap hiyo verse ya queen Latifa....long time kiswahili kimevuka boda....
 
Kuna series inaitwa one tree hill kuna mtu alisema dada
 
1.Mc lyte::::1991
My mother put me in weusi shule which means black school in swahili mc lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself.

2.Nas na Damian marley::::2010
Nas:and I can speak rap star
Y'all feel me even if it's in Swahili habari gani?
Damian Marley:Nzuri sana

3.Michael Jackson:::1987
Nakupenda pia nakutaka pia mpenzi we kwenye liberian girl.

Kiswahili kimeanza kusikika zamani sana ndani ya matekani tangu 80's....Shukrani kwa nyerere kuendeleza kiswahili mikoani na mbele.

Kuna mixtape moja ya 50 cent ambayo ina ngoma mojawapo jina nimesahau. Kuna mstari mmoja anamwambia demu Give me your love otherwise nitaku*$la
 
Pia kuna movie ya Angelina jolie inaitwa Lara craft sikumbuki spelling kuna kipande wameongea kiswahilii
Na kuna movie ya alieigiza TITANIC sikumbuki inaitwaje kuna sehemu wametumia kiswahilii
 
Back
Top Bottom