kayaman
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 4,516
- 10,423
Huyo anatoa chai tu! Amaru shakur alikua black panther ambao wengi wao badae walirudi Africa kwenye nchi tofauti, shakur na wenzie walisettle arusha ukienda maeneo ya arusha university wapo wengi tu hakuna na uchagga wala umeru!Heee tuhabarishe Amar Shakur alikuwa mchaga?