Hata kwenye move ipo sana tu, nakumbuka move moja ya van damme na ---- young. Damme alimwambia ---- ntakutwanga wewe lakin kutokana na lafudhi wengi hawa kuelewa ila kwenye script iko wazi na wameainisha
A Team kuna sehemu wanaongea kiswahili, sehemu wanakagulia passport, nimesahau maneno exactly ila walitaja somesort of Zanzibar
Nikita kuna sehemu percy aliongea kiswahili, sikumbuki episode ya ngapi exactly
1.Mc lyte::::1991
My mother put me in weusi shule which means black school in swahili mc lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself.
2.Nas na Damian marley::::2010
Nas:and I can speak rap star
Y'all feel me even if it's in Swahili habari gani?
Damian Marley:Nzuri sana
3.Michael Jackson:::1987
Nakupenda pia nakutaka pia mpenzi we kwenye liberian girl.
Kiswahili kimeanza kusikika zamani sana ndani ya matekani tangu 80's....Shukrani kwa nyerere kuendeleza kiswahili mikoani na mbele.