Huyo anatoa chai tu! Amaru shakur alikua black panther ambao wengi wao badae walirudi Africa kwenye nchi tofauti, shakur na wenzie walisettle arusha ukienda maeneo ya arusha university wapo wengi tu hakuna na uchagga wala umeru!
kwenye huo wimbo hata neno karamu ninla kiswahili maana yake ni party au tafrija japo karamu inajumuisha kila kunywa na kuburudika na burudani mabli mbali sio vinywaji pekee