Wanamuziki waliopanga kugombea ubunge 2025

Wanamuziki waliopanga kugombea ubunge 2025

Sheta ilala
Shetta awe mbunge wetu ilala..off course ni home boy kabisa kabisa ila Bado muda ilala Jimbo gumu sana ajipe time labda 10yrs to come,
Jimbo limewashinda watu wazito.wazito kisiasa mtu kama mrisho gambo ali give up akaamua aende arusha,kina Sophia mjema huyu haamini Hadi Leo kilichomkuta.
 
Foby-Tunduru
Stamina -Moro town
Roma-Tanga
Mjini
Harmonize-Mtwara mjini
ommy dimpozi -Kasulu. ...weka na wako wewe
Sasa Harmonize si akagombee Tandahimba au anamuogopa Nkuchika
 
Back
Top Bottom