Wanamuziki waliopanga kugombea ubunge 2025

Wanamuziki waliopanga kugombea ubunge 2025

TID - Kinondoni
Q Chief - Kibamba
Ray Van - Mbeya Mjini
Muumin Mwajuma - Bagamoyo
Christina Shusho - Segerea
Maua Sama - Moshi vijijini
Jo Makin - Arusha
Ally Choki - Kibaha
kwa chama gani?
 
Mbona zuchu na nandy hamuwapi majimbo ya kugombea?
 
Jay Dee tu ndio akigombea popote alipo ndio ana mvuto... wengineo labda AY kidogo.
 
Best Nasso- Musoma vijijini (majita majita)
Chief Maker-Bunda
 
Isimani iko mkoa gani
Mkoa wa Iringa, inje kidogo ya manispaa ya Iringa barabara ya Iringa- Dodoma kupitia bwawa la kufua umeme “Mtera” na Mbunge wa hapo kwa sasa ni Mh. Lukuvi
 
Mkoa wa Iringa, inje kidogo ya manispaa ya Iringa barabara ya Iringa- Dodoma kupitia bwawa la kufua umeme “Mtera” na Mbunge wa hapo kwa sasa ni Mh. Lukuvi
Lukuvu byeee byeee
 
TID - Kinondoni
Q Chief - Kibamba
Ray Van - Mbeya Mjini
Muumin Mwajuma - Bagamoyo
Christina Shusho - Segerea
Maua Sama - Moshi vijijini
Jo Makin - Arusha
Ally Choki - Kibaha
Wapi Luiza Mbutu?
 
Back
Top Bottom