Wanamuziki waliopanga kugombea ubunge 2025

Wanamuziki waliopanga kugombea ubunge 2025

Kuna uchaguzi ule Kingwendu alimpelekea moto huyu Jaffo Mkuranga mpaka kijacho kilimtoka kidogo achukue
 
Wengi ni baada ya kuvutiwa na
Sugu
Prof jay
Na sasa Mwana FA


Ay - isimani
Fid Q - Nyamagana
Madee - ubungo
Japhet zabron - kahama
sijasahi kujua kama AY ni mtu wa ISIMANI, kwa sababu babake ni Mnyakyusa, ndio maana anaitwa Ambwene Yesaya, na mamake ni Mnyarwanda. huko Isimani kwa Lukuvi amefikaje?
 
TID - Kinondoni
Q Chief - Kibamba
Ray Van - Mbeya Mjini
Muumin Mwajuma - Bagamoyo
Christina Shusho - Segerea
Maua Sama - Moshi vijijini
Jo Makin - Arusha
Ally Choki - Kibaha
Dudu Baya - Nyamagana
Afande Sele - Moro Town
Juma Nature - Temeke
Daz Baba - Tabata
 
Yani hayo mandondocha ndio yakawe mabunge?
 
Wengi ni baada ya kuvutiwa na
Sugu
Prof jay
Na sasa Mwana FA


Ay - isimani
Fid Q - Nyamagana
Madee - ubungo
Japhet zabron - kahama
Wanaingia bungeni halafu wanapangiwa cha kusema ili kuuhadaa umma
 
Back
Top Bottom