Wanamuziki waliowahi kutoa nyimbo zilizokuwa mbele ya wakati wao

Wanamuziki waliowahi kutoa nyimbo zilizokuwa mbele ya wakati wao

kilwa jazz huo wimbo wao ni wazi idea walitoa kwenye wimbo wa tabu ley-mokolo nakokufa hivo basi haukuwa mbele ya muda bali walipata kitonga
Wewe kiazi kweli....... Melody ndio zimefanana! Idea ni mbili tofauti chukua hii ' Mokolo nakokufa maana yake ni siku nikifa'[emoji13]
 
Sikinde-nawashukuru wazazi wangu wakati wowote,,ushauri wao umeniletea mafanikio mema,,sasa naishi na watu vizuri.

Hii ngoma ya kizee lakini inaishi.
"Naleta mashitaka kwako baba Paroooookooooo... "
Huu nao mtamu ila sijui kaimba nani.
Pia usisahau Makumbele part 1 & 2
 
O ten ft Linex - akipendacho binti


"Akipendacho binti, mwanaume lazima atanunua.. akipendacho binti, sokoni hakiwezi kudorora.."


 
Ali K mapenz yanarun dunia..ndan ya beat kali kutoka kwa Man water....kwel umemtendea haki...anastahili....lkn mbona Mond simuon kweny list?
 
Ghetto, she got one - Ngwair
Ice cream - Noorah
Seya - Papii na baba yake
kitambaa Cheupe - King kikii
Njiwa - bi Patricia
Nikikupata - Ben Paul
Mama - Banana Zoro
Action, pwaa - C pwaa
Shida - Mbaraka
Yalaiti - bi Kidude
Shukuru -Ay ft sauti soul
alikufa na ngoma -FA ft J dee
African queen -2 face
Soledad - west life
Understand - TID + J dee
 
Mwisho wa mwezi una mambo, habari gani ugeuka how are you.......
 
Kwangwaru
Muziki
Kubali
Nakuja
Madanga ya mke wangu
Mapenz Yana run Dunia
Beer tamu

New Generation
 
OLIVER MTUKUDZI - TODIIIII
" He todii (senzeni)"
What shall we (tingadii)
Senzenjani (what shall we do)
Ho todii (senzeni)
What shall we (tingadii)
Senzenjani (what shall we do)
 
Hapo kuna Tupac shakur na Notorious BIG , tukianza na Biggie alitoa album ya ready to die af akafa akiwa anaandaa ile album ya life after death Yan amekufa ndo wakatoa album, AF pia ngoma na movie nyingi za Tupac zilionesha akitabiri kifo chake, mpaka leo nasema wale jamaa HV walijua watakavyokufa au vp
 
Back
Top Bottom