Wanamuziki waliowahi kutoa nyimbo zilizokuwa mbele ya wakati wao

Wanamuziki waliowahi kutoa nyimbo zilizokuwa mbele ya wakati wao

Unajuwa sana mziki wewe
Mpaka hiphop ngumu upo
[emoji1]

Ova
 
Halila Tongolanfa - 'Sanura', acha kabisa hii kitu. Itaishi milele na milele.
 
It feels so good ya Sonique. Hii kitu ya electric ukiisikiliza lazima uachane na mawazo yako ya kwenda kujinyonga kwa jinsi inavyoburudisha.
 
Ngoma Bora ya muda wote hapa bongo ni moja Tu
Mwanza Nyegezi ya Rayvanny
 
Back
Top Bottom