Wanamuziki waliowahi kutoa nyimbo zilizokuwa mbele ya wakati wao

Ali K mapenz yanarun dunia..ndan ya beat kali kutoka kwa Man water....kwel umemtendea haki...anastahili....lkn mbona Mond simuon kweny list?
Nyimbo za Mond ni janja janja. Anatoa nyimbo ili mradi apige pesa ubora hakuna.. angalau zile za mwanzoni alijitahidi
 
namba moja weka ccm mbele kwa mbele. Apo Nitakuelewa
 
Naunga mkono usemi
 
OLIVER MTUKUDZI - TODIIIII
" He todii (senzeni)"
What shall we (tingadii)
Senzenjani (what shall we do)
Ho todii (senzeni)
What shall we (tingadii)
Senzenjani (what shall we do)
chifu ile gitaa solo na organ si vya dunia hii
 

Nyimbo pendwa sio zilizo mbele ya wakati. Kitu kikiwa mbele ya wakati maana watu hawakielewi au hawakielewi vizuri pale kinapotoka halafu baadae ndo wanakuja kukielewa.

Iliyokuwa mbele ya wakati mfano ni "Mambo kwa soksi" aliyoitoa marehemu Dr. Remmy Ongala miaka ya 80 katika kuhamasisha watu wavae kondomu (soksi) ili kujilinda na UKIMWI ambao ulikuwa umeshaingia ukanda wa Kagera na mpakani na Zaire.

Wimbo huu ulifungiwa na BASATA kwamba ulionekana ni wa matusi kwa kuongelea kondomu.

Ni mpaka Mkapa alipokuwa Rais na kuuvalia njuga UKIMWI ndo masuala ya kondomu yakawa jambo la kawaida.

Hivyo basi wimbo huo wa Dr. Remmy ulikuwa mbele kwa miaka kumi.
 
Kuna msanii anaitwa Nemo ana ngoma inaitwa wife, jamaa alijaribu kuleta ladha tofaut kwny game... ngoma genre ya euro dance hivi naona wabongo hawakumuelewa sana...banana zorro nae akatest bongo rock ikabuma 😂😂😂
 
OLIVER MTUKUDZI - TODIIIII
" He todii (senzeni)"
What shall we (tingadii)
Senzenjani (what shall we do)
Ho todii (senzeni)
What shall we (tingadii)
Senzenjani (what shall we do)
Dah, kumbe ndo hivyo😂😂😂

Mimi huwa naimba 'Washawilu'

 My whole has been a lie😂😂
 
Duble-dubble- Mayaula Mayoni
Carolina - Awilo longomba.
Maya - Simaro Lutumba "le Prophet"
Maya - Bombenga (copy)
 
MKuu nimefika namba 10 nikajua kabisa bangi yako unavutaga kushabu,au ww ndio shishi bebi au mume wake.Yupo wapi the goat himself Ngwea ambaye yeye mwenyewe alikuwa mbele ya muda wake,pia sijamuona baba style the best story teller of all the time?
 
Bila kumtaja Jabali la Muziki Hayati Marijan Rajab huu uzi utakuwa umevunda, kuna mwaka Bunge la Tanzania liliazimia aandikiwe kitabu juu ya mchango wake kwenye Fasihi za Tanzania
 
Kuna moja toka kwa aliekuwa mbunge wa watu na wanyama prof jay inaitwa bongo daslam akiwa na komando jidee hii utadhani imetungwa jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…