Wananchi 34 wabomolewa nyumba zao kabla ya fidia KIA, utaratibu gani huu?

Wananchi 34 wabomolewa nyumba zao kabla ya fidia KIA, utaratibu gani huu?

Acheni kujaribu kumtisha mama, hata hivyo hategemei kura zenu.
Hatumtishi wala hatuna dhamira ya kumtisha.
Hiyo lugha ya kumtisha umeiweka ww

Alipe haki za watu Jangwani fidia ya ardhi hasa kwa wenye ofa na hati swala lipo ndani ya uwezo wake. Sio vizuri kuona wtz wakidhulumika
 
Jangwani DSM hakuna hati,vile ni viwanja vya michezo toka kitambo! Au tuseme ni maeneo ya wazi,kama vile viwanja vya Mnazi mmoja!!
Viwanja vya Jangwani kuna ofa na hati zipatazo nane 8

Nimeziona kwa macho yangu.

Watu hawa wanastahili fidia manake ni serekali hiyo hiyo iliwapa
 
Back
Top Bottom