ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 May 12, 2024 #21 Ncha Kali said: Acheni kujaribu kumtisha mama, hata hivyo hategemei kura zenu. Click to expand... Hatumtishi wala hatuna dhamira ya kumtisha. Hiyo lugha ya kumtisha umeiweka ww Alipe haki za watu Jangwani fidia ya ardhi hasa kwa wenye ofa na hati swala lipo ndani ya uwezo wake. Sio vizuri kuona wtz wakidhulumika
Ncha Kali said: Acheni kujaribu kumtisha mama, hata hivyo hategemei kura zenu. Click to expand... Hatumtishi wala hatuna dhamira ya kumtisha. Hiyo lugha ya kumtisha umeiweka ww Alipe haki za watu Jangwani fidia ya ardhi hasa kwa wenye ofa na hati swala lipo ndani ya uwezo wake. Sio vizuri kuona wtz wakidhulumika
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 May 12, 2024 #22 jkipaji said: Jangwani DSM hakuna hati,vile ni viwanja vya michezo toka kitambo! Au tuseme ni maeneo ya wazi,kama vile viwanja vya Mnazi mmoja!! Click to expand... Viwanja vya Jangwani kuna ofa na hati zipatazo nane 8 Nimeziona kwa macho yangu. Watu hawa wanastahili fidia manake ni serekali hiyo hiyo iliwapa
jkipaji said: Jangwani DSM hakuna hati,vile ni viwanja vya michezo toka kitambo! Au tuseme ni maeneo ya wazi,kama vile viwanja vya Mnazi mmoja!! Click to expand... Viwanja vya Jangwani kuna ofa na hati zipatazo nane 8 Nimeziona kwa macho yangu. Watu hawa wanastahili fidia manake ni serekali hiyo hiyo iliwapa