Wananchi Chato walia Ukata, Wasema toka Magufuli afariki hakuna wageni wanaokuja kuchangamsha biashara

Wananchi Chato walia Ukata, Wasema toka Magufuli afariki hakuna wageni wanaokuja kuchangamsha biashara

Hata kijijini Kwa Mobutu seseseko ilikuwa hivyo hivyo !!! Wenye akili tuliona Hilo mapema !! Poleni wanachato Mungu wenu hayupo
 
Geita cc tuna migodi zaidi ya mitatu lkn hata barabara ya kuingia mgodi Kakola na katoro hakuna dhahabu inapita katika vumbi unaenda kujenga mataa mji ambao watu hakuna wala rasili mali ubinafsi mbaya sana
 
Huo mji serikali inaweza kuupangilia, kuanzisha miradi mipya kama kufubgua masoko, shule, stendi ya mabasi watu wataongezeka tu.

Lakini kulalamika Chato imelala kama ina facilities zote, huo ni uzembe wa serikali iliyolala.
Sitaki kuamini hii ndio akili yako. Serikali ianzishe miradi mipya tena zaidi ya iliyopo ambayo ilianzishwa na imeshindwa ku take off kwasababu ya idadi ndogo ya wageni? Hili ni somo kuwa tunapopata uongozi tusitawanye rasilimali za nchi bila uwiano sawa madhara yake ndio haya wewe unasema watu wataongezeka tuu unadhani hapa chato kila mwanamke azae mara ngapi kwa mwaka ili kuijaza chato?
 
Wao wana nini cha kuwafanya watu waende? Hata JPM angekuwepo iwapo angelazimisha basi lilikuwa suala la muda tu. Biashara ni Demand and Supply.
 
Nasikia Zanzibar viwanja na Mahoteli bei ziko juu sana! Kutesa kwa zamu! Sijui baada ya Zanzibar zamu ya mkoa gani kuanza kuneemeka!!? Tusubiri huwezi jua labda ni Singida!!
KWASASA HATA ARUSHA NA KILIMANJARO KUNA NEEMEKA SANA TOFAUTI NA ENZI ZA MWENDA ZAKE AMBAPO HOTEL NYINGI ZA KITALII ZILIKUFA MPAKA HOTEL KUBWA KAMA NGURDOTO IKAWA HOSTEL.
SASA HIVI KILA BAADA YA SIKU CHACHE LAZIMA MAMA AENDE ARUSHA KUZINDUA KITU FLANI NA BAHATI NZURI MSIMU WA UTALII NDIO UMEANZA KUFUNGUKA YANI WATALII KIBAO.
 
Nasikia Zanzibar viwanja na Mahoteli bei ziko juu sana! Kutesa kwa zamu! Sijui baada ya Zanzibar zamu ya mkoa gani kuanza kuneemeka!!? Tusubiri huwezi jua labda ni Singida!!
Zanzibar inaongoza Kwa Utalii Tanzania hata kabla ya Samia
 
Wao wana nini cha kuwafanya watu waende? Hata JPM angekuwepo iwapo angelazimisha basi lilikuwa suala la muda tu. Biashara ni Demand and Supply.
Angelazimisha iwe Mkoa hivyo Watumishi wa ngazi ya Mkoa wangeleta uchangamfu kidogo
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
KWASASA HATA ARUSHA NA KILIMANJARO KUNA NEEMEKA SANA TOFAUTI NA ENZI ZA MWENDA ZAKE AMBAPO HOTEL NYINGI ZA KITALII ZILIKUFA MPAKA HOTEL KUBWA KAMA NGURDOTO IKAWA HOSTEL.
SASA HIVI KILA BAADA YA SIKU CHACHE LAZIMA MAMA AENDE ARUSHA KUZINDUA KITU FLANI NA BAHATI NZURI MSIMU WA UTALII NDIO UMEANZA KUFUNGUKA YANI WATALII KIBAO.
Mikutano mikubwa na Utalii havikauki Arusha na Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom