Wananchi Chato walia Ukata, Wasema toka Magufuli afariki hakuna wageni wanaokuja kuchangamsha biashara

Kwa utafuti wangu mdogo ukata upo nchi nzima. Watu hawali maisha kama kipindi cha JK . Nenda kwenye sehemu za starehe hukuti watu wengi kama miaka hiyo
 
Factors for the rise and fall of chato empire[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Reasons/ factors for the rise
1) favouritism from leader
2)poor planning
3) giant white elephant

Factor for the fall
Death of ruler
Unproductive investment [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
NB chato is gbadolite of East africa
 
Kwa utafuti wangu mdogo ukata upo nchi nzima. Watu hawali maisha kama kipindi cha JK
All these miseries zilianza kipindi Cha Mwendazake ila pia mabadiliko ya Kiuchumi Duniani yamechangia.

Mwisho aisee maendeleo Kwa Sasa ni makubwa kuliko hicho kipindi Cha JK
 
 
Ni vyema Serikali ielekeze warsha,seminar, mikutano mikubwa ya CCM na Serikali huko Chato!! Hii itasaidia kuondoa sononi kwa wana Chato.
 
Hawako serious na maisha....wanataka mpaka wachangamshwe kweli πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Vip kwa upande wako Kijiji chenu kinazidi ku shine?
baada ya JPM kuondoka?
 
Uongozi wa chato ukae kitako ubuni harakati za kiuchumi ambazo zitachochea uchumi kuamka kwenye hili huwa hakuna muujiza,UBUNIFU WA HARAKATI ZA KIUCHUMI NDILO LA MSINGI,LAKINI KUJENGA TU MADUDEDUDE BILA KUWEPO HARAKATI BUNIFU ZA KIUCHUMI NI ZERO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…