Kwahiyo mapress release ya Wizara ya Afya, kutaka itv ichukuliwe hatua tunayachukuliaje??
Anguko la Gwaji-girl kipenzi cha wakili msomi!
Everyday is Saturday............................... 😎
CHALAMILA ,asitumbuliwe ila ajifunze kutafuta ushauri kutoka kwa watahalam wake mkoa kabla ya kutoa maelekezo , sio kila kila kitu ni kutoa order,Kwahiyo Gwajima na Chalamila wote wawili watumbuliwe?!
Huu ugonjwa uko tangu mwaka 2019 kwahiyo siyo ugonjwa wa mlipuko ni kwamba haujulikani tu kuwa ni ugonjwa gani?CHALAMILA ,asitumbuliwe ila ajifunze kutafuta ushauri kutoka kwa watahalam wake mkoa kabla ya kutoa maelekezo , sio kila kila kitu ni kutoa order,
GWAJIMA , kabla ya kutumbuliwa ajiuzulu mwenyewe
Mkuu hujasoma statement yake ya jana? Anakanusha watu wanakufa...hii nchi kila mtu kajawa na uwoga !!Waziri anaishi Chunya?
KWA iyo ,hao waliokufa, ni kuanzia 2019, KWA nini hatukusikia kipindi chote mpaka iwe leo, acheni siasa,na propaganda kwenye AFYA za watu, na Kama ulikuepo tangu kipindi hicho ni hatua zipi zilichukuliwa na serikali? Ni aibu dunia ya leo kusema at ungonjwa ulikuepo tangu 2019 na haujulikani so what , wewe ni mchonganishi namba moja Kati ya wananchi na viongozi wao , kwamba ugonjwa umekuepo na serikali imeacha watu wafe???!Huu ugonjwa uko tangu mwaka 2019 kwahiyo siyo ugonjwa wa mlipuko ni kwamba haujulikani tu kuwa ni ugonjwa gani?
Angekuwa muungwana angesema wananchi wenzangukwani wapiga kura wake wanateketea.
Taratibu babu kwanini unaniita mjinga... tumeongelea fact zilizopo.. tumemuongelea aliyefanya tendo hilo na si aliyemtuma... tuna ushahidi wa aliyemtuma au maneno yako tu??? Kwani niliposema alikua anamfurahisha mwamfulani ulielewa nini??Usijione we ndo mwenye akili kwa kuwa unaamini mawazo yako ndo sahihi...!!!Acha kuwa mjinga!Na hili limezidi kuwa tatizo kwa watanzania wote. Yule Mama hafanyi vile kwa matakwa yake.Anafanya vile kumuwakilisha Magufuli. Ile siyo yule Mama ni Magufuli.Asipofanya vile hana kazi, hana tonge la kila siku! Mzizi wa tatizo ni Magufuli.
Si sahihi kusema kuwa katika tawala za afrika viongozi wa serekali huongoza kwa kufuata matakwa,nia,hisia,mapendekezo pamoja na fikra za aliewateua badala ya kufuata kanuni,sheria na katiba za nchi?... tuna ushahidi wa aliyemtuma au maneno yako tu???
Hilo mi na wewe tunaelewa hvyo...lkn hatuna ushahidi wa kueleza kinaga ubaga huyu katumwa kuandika waraka huu, usishangae mara kesho katumbuliwa [emoji23][emoji23]ndo maana tunasema anafanya kumfurahisha mwamfulani...aidha kamtuma au kajituma..Si sahihi kusema kuwa katika tawala za afrika viongozi wa serekali huongoza kwa kufuata matakwa,nia,hisia,mapendekezo pamoja na fikra za aliewateua badala ya kufuata kanuni,sheria na katiba za nchi?