TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Una miaka mingapi kijana???magenerali karibu wote kwenye jeshi la drc ni wanyarwanda kagame kapenyeza ma spy wengi sana drc na wapo kwenye sekta zote mhimu kuanzia jeshini polisi mpka usalama
wa taifa,
kwa kifupi afrika mashariki na kati hakuna nchi ya kuweza kupigana na rwanda