Mr Putin
JF-Expert Member
- Feb 13, 2019
- 515
- 520
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Stupid Congolese ukabila utawamaliza wote, M23 sio kikundi cha wahuni tuu wanaotaka madaraka kama watu wengi wanavyofikiria, ni banyamulenge na wana asili ya watusi na wanaishi Eastern Congo, Congolese wanataka kuwafanyia genocide kama wale wa Rwanda na mgogoro wote unaanzia hapo, wapo hapo kwa zaidi ya miaka 300 lakini wanaambiwa ni wahamiaji, hata mimi nisingekubali na jamaa wapo vizuri maana ndio wamekamata business zote mashariki ya Congo wana pesa na vita wanaijua