Wananchi DRC Waandamana kupinga Rwanda kuunga mkono kundi la waasi la M23

Una miaka mingapi kijana???
 
We unaijulia wapi?rwanda hamna kitu kulikomboa bara la Africa imeshiriki vita gani?

Tanzania zaidi ya nchi 5 tumezipigania ukombozi na zipo huru
Huijui rwanda ila kama ungekuwa unaijua vzr usingeongea hayo
 
Taja hapa ma-general watatu tu ambao Ni wanyarwanda kwny jeshi la Congo.
 
Hawana chanzo chochote Cha mapato?Hivi unaijua Congo kweli wewe? Makundi yote ya waasi huko Congo yanauza madini,mbao,magogo,mikaa,yanakusanya Kodi kutoka kwny vijiji mbalimbali vilivyoko chini Yao.
 
Upumbavu mtupu, Jeshi la Rwanda ni takataka mbele ya JWTZ na KDF
[emoji1][emoji1] umesema KDF nikakumbuka nilivyowaona wakiiba biskuti pale kwny Ile operation pale kwny mall ya Westgate na walivyopelekwa Somalia kwny mission wakaishia kuiba mkaa tu hahah.Sijawahi kujua Vita yoyote Ile iliyopiganwa na KDF zaidi ya kuona wakikimbizana tu Al-shabab
 
Unaota wewe
 
Huijui rwanda ila kama ungekuwa unaijua vzr usingeongea hayo
Wewe Muulizeni Pk Tpdf Commando walichomfanya,hawezi Katu hata siku1 kuwa na jeuri hiyo,ana kiburi tu cha asili
Kigali kuko uchi tu,si alikuwaga anamkashifu jk,unajua mzee wa Msoga aliochomfanya??
 
Nani kakwambia magaidi hawana vyanzo vya mapato? Usiongee kama upo kijiweni, leta ushahidi.
 
Wewe Muulizeni Pk Tpdf Commando walichomfanya,hawezi Katu hata siku1 kuwa na jeuri hiyo,ana kiburi tu cha asili
Kigali kuko uchi tu,si alikuwaga anamkashifu jk,unajua mzee wa Msoga aliochomfanya??
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Chai nzito sana hii bila kushushia kashata haishuki kabisa.
 
Wanaisumbua DRC, nayo pengine sababu serikali ipo mbali sana.
 
Huwa nikiona mtu anasema Rwanda inaweza kupambana kijeshi na TZ, nabaki kujiuliza hl"huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiri?".

Kwa hali ilivyo, siku wakijipendekeza, watajikuta wanapigana na Kigoma peke yake. Tutapeleka vifaa hapo kwa ndugu zetu "waha", then huku kwingine tunaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa!

Maana tukisema tufanye full-scale attack, ni siku mbili tu JWTZ watakua state house Kigali wanakunywa kahawa. Hapa East Africa, Tanzania ndio baba yenu!

Last time Rwanda kuleta mdomo ilikua enzi za Kikwete. Walipigiwa show kule maporini, kiherehere kikaisha. Jaribuni tena muone. Maana JWTZ wako na ugwadu kinoma!
 
Wewe Muulizeni Pk Tpdf Commando walichomfanya,hawezi Katu hata siku1 kuwa na jeuri hiyo,ana kiburi tu cha asili
Kigali kuko uchi tu,si alikuwaga anamkashifu jk,unajua mzee wa Msoga aliochomfanya??
Lete maneno mkuu..Mzee wetu wa msonga alimfanya nini huyu PK?
 
Huyu anasapoti m23 yule anasapoti fdlr

Wapigane tu tuone nani mbabe
 
Hakuna anae support ni uoga tu wa wacongo man wajifunze kwa Ukraine alivyomtoa kamasi Mrusi na ndiyo dawa ya hawa wanyarwanda. Rwanda wanafanya uvamizi kama warusi walivyofanya kwa Ukraine
 
Hakuna anae support ni uoga tu wa wacongo man wajifunze kwa Ukraine alivyomtoa kamasi Mrusi na ndiyo dawa ya hawa wanyarwanda. Rwanda wanafanya uvamizi kama warusi walivyofanya kwa Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…