Wananchi Iran waendelea kuandamana dhidi dhuluma za kidini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Serikali inaendelea kuua wananchi wake kama jitihada za kumpigania "mungu" na uislamu....japo wananchi wamechachamaa, masuala ya kidini waachiwe kila mmoja ajiamulie, sio mwanamke anauawa kisa kipande cha nywele kimejichomoza.

==================

Acity in Iran that was the scene of a bloody crackdown last month awoke to new destruction on Saturday, state TV showed, after tensions erupted the day before.

In Zahedan, a southeastern city with an ethnic Baluch population, protests after Friday prayers left the city battered. Shops gaped open to the street, their windows smashed. Sidewalks were littered with broken glass. ATMs were damaged. Cleaning crews came out, sweeping debris from vandalized stores.

The outburst of protests in Zahedan came as demonstrations across Iran continue over the the Sept. 16 death of 22-year-old Mahsa Amini in the custody of the country's morality police. Although the protests first focused on the country's mandatory hijab, they have transformed into the greatest challenge to the Islamic Republic since the 2009 Green Movement over disputed elections. Security forces have dispersed gatherings with live ammunition and tear gas, leaving over 200 people dead, according to rights groups.

Violence first broke out in the restive city of Zahedan on Sept. 30 — a day that activists describe as the deadliest since the nationwide protests began. Outrage spread after allegations that a Baluch teenager had been raped by a police officer, fueling deep tensions in the underdeveloped region home to minority Sunni Muslims in the Shiite theocracy.

Rights groups say dozens of people were killed in what residents refer to as "Bloody Friday," as security forces opened fire on the crowds. The Oslo-based group Iran Human Rights puts the death toll at more than 90. Iranian authorities have described the Zahedan violence as involving unnamed separatists, without providing details or evidence.

With anger simmering over the deadly crackdown, unrest in the city flared again on Friday, according to video footage that purportedly showed crowds gathering after noon prayers in Zahedan chanting "I will kill the one who killed my brother!" The scale of the clashes remained unclear, but Iranian state TV aired footage of the aftermath, blaming 150 "rioters" for the trail of destruction.

The state-run IRNA news agency said protesters shouted slogans, hurled stones at motorists and damaged banks and other private property. Authorities said they arrested 57 demonstrators, among the estimated thousands who have landed in jail over the protests. The provincial police commander, Ahmad Taheri, said security forces were searching for more culprits.

MSN
 
giphy.gif
 
Vijana wa Iran wanataka wawe huru kutembea na pisi zao publicly kama nchi jirani za Uturuki, Khazakhastan, India, n.k. Sio kuwekeana mavikwazo ya ajabu ajabu.
Hili ni wazo lako tu mkuu halipo mahali popote katika nchi ya Iran, maandamano yalikuja baada yule mwanamke kwanini aliuwawa mikononi mwa polisi, Serikali ilikosa majibu kwenye hili

Otherwise Iran ni waislamu kwa mujibu imani yao na bado hawajabadilika na hawatabadilika, Wananchi wa Iran wanaishutumu Serikali kwa ukatili uliopitiliza wa mauji. ni hilo tu mkuu

Hakuna muislamu wa Iran hata mmoja kwamba anaandamana sasa ili wanawake wavue hijabu na wapuyange barabarani njia zote kama nyinyi hapo kwa mtogole na dar es salaam., Never..,
 
... sorry kama nimekukwaza Mkuu; ila mbona kwenye maandamano wanazivua hadharani sasa? Wasingezivua ningeelewa hoja yako.
 
waandamanaji wanavua hijabu na kuzichoma moto hadharani barabarani kwa hasira maanake ni kwamba kama kufanya hivyo ni kuuwawa kikatili basi na wawo wauwawe kikatili kuungana na yule aliyekufa mikononi mwa polisi.

Mbona wakirudi kwenye maandamano yao wakiwa nyumban wanavaa, elewa kwamba kiimani hakuna aliyebadilika na bado hijabu linabaki kuwa vazi la wanawake wa kiislam kama sharia inavyotaka katika uislamu. Haimaanishi kwamba sasa vazi la hijabu Iran basi Never..,

Hijabu Iran haivaliwi kumtukuza Rais aliyemadarakani au kwa sababu ya amri ya Serikali ya Iran, Wote wanaovaa wanavaa kwa sababu ya Imani ya dini ya kiislamu ndivyo inavyotaka
 
...

... Uturuki iliyo na waislamu zaidi ya 90% mbona uvaaji hijabu ni suala la hiari? Mkuu hapo red, unatulisha matango pori; uvaaji hijabu Iran uko enforced na sharia/Serikali. Kuna hadi kitengo cha kusimamia maadili including uvaaji hijabu utasemaje "hijabu haivaliwi kwa sababu ya amri ya serikali ya Iran"? Be serious Chief!
 
Kichwa chako ni kigumu sana, tunasema serikali wameona kupitisha hiyo sharia kwa sababu actually wao ni nchi ya kiislamu., Na kama serikali itaondoa hiyo sharia unafkiri wanawake wa kiislamu Iran wataacha kuvaa hijab?? Na sio Iran tu nchi yoyote mfano mdogo Zanzibar waislamu wanavaa hijab na hakuna sharia

Lakini hata nchi ambazo hakuna hizo sharia automatically utawakuta wanawake wa kiislamu wanavaa tu hijab kwa sababu uislamu ndivyo ulivyofundisha.

Nenda UK utawakuta wanawake wa kiislam wanavaa hijjab, Neda US utawakuta wanawake wa Kiislam wanavaa hijjab, nenda China utawakuta wanawake wa kiislam wanavaa Hijab, India nk. Mama samia anavaa hijab unafkiri nani kamlazimisha? ameenda UK, US na Hijab na huna namna ya kumwambia asivae, elewa kwamba hivi uislamu ndivyo ulivyo. Uzuri wa dini ya kiislamu tokea ilipokamilika, waislamu tumekuwa huru kuabudu.

Sharia ya nchi ikawepo ama isiwepo wanawake wa kiislamu watavaa hijjab.
 
... sawa kichwa changu ni kigumu; sijasema popote wanawake wote wa Iran wataacha kuvaa hijab; hoja hapa why mitafaruku ya kuvaa hijab iwepo Iran na sio nchi nyingine kwa mifano uliyotaja? Tatizo ni serikali kulazimisha hijab kwa wanawake wote. Kwanini wasiachwe iwe hiari kama ilivyo Zanzibar na kwingineko ambako hakuna mitafaruku? Au huko (kwingineko) uislamu wao haujakamilika? Naona unakwepa hoja ya msingi.
 
Hili ni wazo lako tu mkuu halipo mahali popote katika nchi ya Iran, maandamano yalikuja baada yule mwanamke kwanini aliuwawa mikononi mwa polisi, Serikali ilikosa majibu kwenye hili

Otherwise Iran ni waislamu kwa mujibu imani yao na bado hawajabadilika na hawatabadilika, Wananchi wa Iran wanaishutumu Serikali kwa ukatili uliopitiliza wa mauji. ni hilo tu mkuu

Hakuna muislamu wa Iran hata mmoja kwamba anaandamana sasa ili wanawake wavue hijabu na wapuyange barabarani njia zote kama nyinyi hapo kwa mtogole na dar es salaam., Never..,
Kwa hiyo Hawa wa hapo kwa mtogole na popote pale duniani wanopiyanga ahera hawaendi
 
waandamanaji wanavua hijabu na kuzichoma moto hadharani barabarani kwa hasira maanake ni kwamba kama kufanya hivyo ni kuuwawa kikatili basi na wawo wauwawe kikatili kuungana na yule aliyekufa mikononi mwa polisi.

Mbona wakirudi kwenye maandamano yao wakiwa nyumban wanavaa, elewa kwamba kiimani hakuna aliyebadilika na bado hijabu linabaki kuwa vazi la wanawake wa kiislam kama sharia inavyotaka katika uislamu. Haimaanishi kwamba sasa vazi la hijabu Iran basi Never..,

Hijabu Iran haivaliwi kumtukuza Rais aliyemadarakani au kwa sababu ya amri ya Serikali ya Iran, Wote wanaovaa wanavaa kwa sababu ya Imani ya dini ya kiislamu ndivyo inavyotaka
Sasa mbona Kuna watu wameajiriwa wanashughulikia wasiovaa hijabu. Wanitwa askari wa maadili ya dini.? Na hapa ndo hua napata shida. Kulazimishana kwanye maswala ya imani.ya mtu.
 
Iran kwa hizi Sheria zao za kidini zitakuja kuvuruga nchi yao. Habari za kulazimishana kwa masuala ya dini yamepitwa na wakati.
Ni wakati wa viongozi wa Iran kufanya mageuzi ya mfumo wa utawala kwani jamii yao inataka mabadiliko
 
Kuna hawa mabinti wadogo majasiri
Screenshot_20221024-095702_Twitter.jpg

Halafu kuna huyu mwanaume coward wa bongo
Screenshot_20221024-095713_Twitter.jpg
 
Sasa kuna haja gani ya kupitisha sheria ikiwa wanavaa hijabu tu??
Uliwahi kuona nchi yoyote iliyopitisha sheria watu lazima wavae mashati au blouse??
Hoja yako ni mfu na ya hovyo.

Back
Top Bottom