mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 708
- 445
Tatizo una fuatilia siasa za mashariki kiushabiki simple logic umepewa kuvaa hijab kwa Iran imekua amri ya kiserikali badala iwe kiimani ya dini...Sasa mbona Kuna watu wameajiriwa wanashughulikia wasiovaa hijabu. Wanitwa askari wa maadili ya dini.? Na hapa ndo hua napata shida. Kulazimishana kwanye maswala ya imani.ya mtu.