Wananchi Iran waendelea kuandamana dhidi dhuluma za kidini

Sasa mbona Kuna watu wameajiriwa wanashughulikia wasiovaa hijabu. Wanitwa askari wa maadili ya dini.? Na hapa ndo hua napata shida. Kulazimishana kwanye maswala ya imani.ya mtu.
Tatizo una fuatilia siasa za mashariki kiushabiki simple logic umepewa kuvaa hijab kwa Iran imekua amri ya kiserikali badala iwe kiimani ya dini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…