DodomaTZ
Senior Member
- May 20, 2022
- 197
- 233
Wananchi mbalimbali wa Kitongoji cha Mtukura - Iriba, Kijiji cha Isenyi, Kata ya Nyakasasa wakielezea jinsi maboresho ya miundombinu yalivyokuwa na faida kwao kwa kuwa ni changamoto ambayo imekuwa ikiwasumbua kwa muda mrefu.
Barabara hizo zinaendelea kufunguliwa kwa kutumia mitambo ya Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo James.