Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amemkabidhi Mwanafunzi mwenye ulemavu wa miguu Kitimwendo alipotembelea Shule mpya ya Msingi Nguzosita iliyojengwa kwa gharama ya zaidi ya Shilingi Milioni 500.
Aidha, Mhe. Edward Ole Lekaita amechangia mifuko ya Saruji 100 kwaajili ya Ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Logoet ikiwa ni kutia moyo nguvu za wananchi waliojitolea kujenga Zahanati.
Mhe. Edward Ole Lekaita amepokelewa kwa kishindo na mamia ya wananchi alipotembelea Kijiji cha Enguserosidan kilichopo Kata ya Laiseri alipokuwa akikagua miradi mbalimbali na kusikiliza kero za wananchi
Wakizungumza na Mbunge Edward Ole Lekaita, Wananchi wa Kijiji cha Enguserosidan wamemuomba Mbunge Ole Lekaita Shule ya Sekondari, Umeme na Barabara.