Wananchi kugeuzwa kitega uchumi na baadhi ya Polisi ndio kumeleta chuki dhidi yao, wala sio masuala ya kisiasa

Wananchi kugeuzwa kitega uchumi na baadhi ya Polisi ndio kumeleta chuki dhidi yao, wala sio masuala ya kisiasa

ryan riz

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
423
Reaction score
683
Kichwa cha habari chajitosheleza

Yaani uwe mshtaki au mshtakiwa bila fedha husikilizwi wala kusaidiwa. Tena ukiwaambia unajua haki zako ndio kabsaa.

Umewatibua, watakutenga na hawatajali malalamiko yako. Huu ni ndio ukweli halisi nendankwenye vituo vyao kazi ukajionee, mara lete elfu arobaini tukamkamate, mara ooh una 30 hapo ili tuweke mambo vizuri yaani pesa pes pesa ndio ushughulikiwe suala lako.
 
Police huwa wanafikiri wao sio binadamu

Waendelee kutudhulumu sisi wakwere ila wakigusa wasomali ya Hamza yatawahusu
 
Polisi wamekuwa waporaji wa haki, mali za watu, hakuna haki kwao, madhulumati nk
 
Ongeza nyama wanaua watu bila hatia, angalia azory, yule mtoto chanika na mengineo. Hamza mtu na nusu yule kada
 
Wakati mwingine wananchi hutamani Polisiccm wasilipwe mishahara kwani pesa wanazochukua tokea kwa wananchi ni nyingi kuliko mishahara yao
 
Ila hapo mwishoni umesikitika bwashee!
Maana siyo police wote ni wabaya, police wema wapo,sema nikuomba Mungu tu ndiyo uwe unakutana nao,na ndiyo maana utaona rahaa ya kua na Jeshi la Police Nchini!!
 
Polisi wamekuwa waporaji wa haki, mali za watu, hakuna haki kwao, madhulumati nk
Kuwabambikia kesi watu na sasa wapo madalali wa kuwachoma watu ambao wamepata pesa zao kwa jasho lao lakini dalali wa ushetani anakula njama na polis wanamchukulia pesa zake kwa njia haramu za kishetani yupo Dalali mmoja anaitwa Kibwana ni mtu wa kuzunguka zunguka huko club Bar supermarkt huko Dsm akiwa na rafiki yake anaitwa Sele 0715132277 au 0787132277 ni watu wenye roho mbaya wivu wa kutisha wakisikia umepata pesa tu lazima wakutengenezee zengwe, wachunguzwe maana wamechangia wananchi kuwachukia Polisi wakati wapo baadhi ya Polisi ni wema wasitaabu wenye utu wapenda haki lakini wanachafuliwa sifa na baadhi ya Polisi ambao siyo waaminifu
 
Maana siyo police wote ni wabaya, police wema wapo,sema nikuomba Mungu tu ndiyo uwe unakutana nao,na ndiyo maana utaona rahaa ya kua na Jeshi la Police Nchini!!
Polis wengi ni wasitarabu tu wachache ndiyo siyo waaminifu hasa wale wapenda Rushwa wapenda kubambikia kesi watu
 
Polis wengi ni wasitarabu tu wachache ndiyo siyo waaminifu hasa wale wapenda Rushwa wapenda kubambikia kesi watu
Polisi wachache ndio wastarabu tu chief mimi nimeingia mikonon mwao mara tatu
Hapo mstarabu mmoja nilmkuta changombe baasi huko kwingine kote ni mbwamwitu
 
Kichwa cha habari chajitosheleza

Yaani uwe mshtaki au mshtakiwa bila fedha husikilizwi wala kusaidiwa. Tena ukiwaambia unajua haki zako ndio kabsaa.

Umewatibua, watakutenga na hawatajali malalamiko yako. Huu ni ndio ukweli halisi nendankwenye vituo vyao kazi ukajionee, mara lete elfu arobaini tukamkamate, mara ooh una 30 hapo ili tuweke mambo vizuri yaani pesa pes pesa ndio ushughulikiwe suala lako.
Ndo maana Hamza kawachukia..kuna jambo majeshi haya yapo kwa ajili ya wanasiasa!
 
Polisi wachache ndio wastarabu tu chief mimi nimeingia mikonon mwao mara tatu
Hapo mstarabu mmoja nilmkuta changombe baasi huko kwingine kote ni mbwamwitu
HATARI SANA...Sijui huwa wanajisiakaje wakirud na maburunguti ya udhulumaji.....sasa hapo wanatofauti gani na vibaka?
 
Back
Top Bottom