Ila hapo mwishoni umesikitika bwashee!Tuna polisipesa hatuna polisi ndiyo maana vifo vyao huwa hatusikutiki sana wakati ni ndugu zetu wa damu inauma sana.
Maana siyo police wote ni wabaya, police wema wapo,sema nikuomba Mungu tu ndiyo uwe unakutana nao,na ndiyo maana utaona rahaa ya kua na Jeshi la Police Nchini!!Ila hapo mwishoni umesikitika bwashee!
Kuwabambikia kesi watu na sasa wapo madalali wa kuwachoma watu ambao wamepata pesa zao kwa jasho lao lakini dalali wa ushetani anakula njama na polis wanamchukulia pesa zake kwa njia haramu za kishetani yupo Dalali mmoja anaitwa Kibwana ni mtu wa kuzunguka zunguka huko club Bar supermarkt huko Dsm akiwa na rafiki yake anaitwa Sele 0715132277 au 0787132277 ni watu wenye roho mbaya wivu wa kutisha wakisikia umepata pesa tu lazima wakutengenezee zengwe, wachunguzwe maana wamechangia wananchi kuwachukia Polisi wakati wapo baadhi ya Polisi ni wema wasitaabu wenye utu wapenda haki lakini wanachafuliwa sifa na baadhi ya Polisi ambao siyo waaminifuPolisi wamekuwa waporaji wa haki, mali za watu, hakuna haki kwao, madhulumati nk
Polis wengi ni wasitarabu tu wachache ndiyo siyo waaminifu hasa wale wapenda Rushwa wapenda kubambikia kesi watuMaana siyo police wote ni wabaya, police wema wapo,sema nikuomba Mungu tu ndiyo uwe unakutana nao,na ndiyo maana utaona rahaa ya kua na Jeshi la Police Nchini!!
Suluhisho: Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi vitakomesha hii "symbiotic life".Nilinde nikulinde, police ulinda ccm na ccm uilinda police kwa common interests
Polisi wachache ndio wastarabu tu chief mimi nimeingia mikonon mwao mara tatuPolis wengi ni wasitarabu tu wachache ndiyo siyo waaminifu hasa wale wapenda Rushwa wapenda kubambikia kesi watu
Ndo maana Hamza kawachukia..kuna jambo majeshi haya yapo kwa ajili ya wanasiasa!Kichwa cha habari chajitosheleza
Yaani uwe mshtaki au mshtakiwa bila fedha husikilizwi wala kusaidiwa. Tena ukiwaambia unajua haki zako ndio kabsaa.
Umewatibua, watakutenga na hawatajali malalamiko yako. Huu ni ndio ukweli halisi nendankwenye vituo vyao kazi ukajionee, mara lete elfu arobaini tukamkamate, mara ooh una 30 hapo ili tuweke mambo vizuri yaani pesa pes pesa ndio ushughulikiwe suala lako.
HATARI SANA...Sijui huwa wanajisiakaje wakirud na maburunguti ya udhulumaji.....sasa hapo wanatofauti gani na vibaka?Polisi wachache ndio wastarabu tu chief mimi nimeingia mikonon mwao mara tatu
Hapo mstarabu mmoja nilmkuta changombe baasi huko kwingine kote ni mbwamwitu