Swali ameshamilza yote kwa hiyo anaendelea for PLEASURE!Siku hizi haipiti siku mbili bila kusikia kile kinachotangazwa kuwa
'wananchi wanataka Magufuli aongezewe muda'
Na ukifuatilia zaidi unagundua sio wananchi bali ni 'mipango mipango' tu
ya watu wachache.....
cha kushangaza Magufuli hata nusu ya miaka mitano tu ya kwanza hajamaliza...
na wala sio kwamba anakaribia kufikisha miaka kumi ya urais wake
Lakini 'harakati za waziwazi sasa zinaonekana' za kuweka mazingira
ya kumuwezesha akae zaidi ya kikomo cha miaka 10 kama wenzie...
Swali la kujiuliza.....anataka kuwa Rais wa maisha?
ni kweli miaka 10 haimtoshi?
It will never happen. Full stop.
Hao ni kupe wanaonufaika na utawala wake. Mark my words. Utawala wake, si uongozi wake.
Anaweza kuja kuibua katiba mpya akikaribia miaka kumi ili apate upenyo. We should be aware of the trick!
Hata hiyo miaka kumi will be too much to bear. Mungu atunusuru.
kama hilo ndo lengo lake, basi kwa mtazamo wangu ni kuwa wameshauriana vibaya katika muda wa kuanza kampeni hizo. km ulivyosema, muda bado sana wa kumaliza kipindi chake cha halali na bado kuna mengi ya kusubiri matokeo. kampeni hizi zinachagizwa na masuala ya accacia ambayo hata bado hatujajua mwisho wake...pengine sisi ndio tutakaopigwa. ili mvumo huu uendelee, inabidi afanye mazuri katika muda wake wote uliobaki, jambo ambalo sidhani. kasi yake ya kuchokwa itakuja kwa haraka hivihivi km anavyolazimishwa kupendwa.....mbaya zaidi itakuja mwishoni!
Hayo ni yako tu lkn wananchi tulio wengi tunamsapoti Raisi wetu Magufuli na tunahitaji atawale milele Wanaompinga Magufuli ni watu wavivu wezi wahujumu uchumiSiku hizi haipiti siku mbili bila kusikia kile kinachotangazwa kuwa
'wananchi wanataka Magufuli aongezewe muda'
Na ukifuatilia zaidi unagundua sio wananchi bali ni 'mipango mipango' tu
ya watu wachache.....
cha kushangaza Magufuli hata nusu ya miaka mitano tu ya kwanza hajamaliza...
na wala sio kwamba anakaribia kufikisha miaka kumi ya urais wake
Lakini 'harakati za waziwazi sasa zinaonekana' za kuweka mazingira
ya kumuwezesha akae zaidi ya kikomo cha miaka 10 kama wenzie...
Swali la kujiuliza.....anataka kuwa Rais wa maisha?
ni kweli miaka 10 haimtoshi?
Hayo ni yako tu lkn wananchi tulio wengi tunamsapoti Raisi wetu Magufuli na tunahitaji atawale milele Wanaompinga Magufuli ni watu wavivu wezi wahujumu uchumi
Atafanya attempt ya prolong reign yake lakini it won't work. Trust me.Kama its true Walioandamana Mwanza waliandaliwa na Bashite
basi kwa vyovyote vile ndo 'mipango yake'
hatukuhisi anaweza zuia mikutano ya siasa kinyume na katiba
but 'ameweza'
so huwezi jua
Propaganda hizi hazisaidii nchi hata kidogo. Mnakaa mnatunga story za ajabu ajabu. Zinahusiana vipi na ujenzi wa uchumi wetu. Acheni ujinga makamandaWatu wanalazimishwa kumpongeza na kuandamana
ajabu sana
Wengine wanalazimishwa kujiuzulu nyadhifa zao za kisiasa ili wamuunge mkono! Sasa sijui ni lipi hasa alilofanya.. any way Watanzania wengi ni magoigoi
Sijawah kusikia tamko la kuzuia siasa wajameni. nilichosikia ni kuwa alitoa ushauri. Kwamba hii sio mida ya siasa. Tujenge uchumi.Na ikikaribia na uchaguzi basi tunaweza poteza muda tunavyotaka kupiga mbinja za siasa. Lets be careful na statements.Uzalendo kwanza mengine baadaeMbona amevunja katiba kwa kuzuia siasa hadi 2020 na hakuna aliemzuia?
Umeadimika mkuu...upo?Anajiandalia mazingira
Sijawah kusikia tamko la kuzuia siasa wajameni. nilichosikia ni kuwa alitoa ushauri. Kwamba hii sio mida ya siasa. Tujenge uchumi.Na ikikaribia na uchaguzi basi tunaweza poteza muda tunavyotaka kupiga mbinja za siasa. Lets be careful na statements.Uzalendo kwanza mengine baadae