Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,653
- 21,307
Katiba Iheshimiwe. Hata Obama aliondoka madarakani akiwa anapendwa sana lakini katiba ilichukua mkondo wake. Rais Magufuli anafanya kazi nzuri na bado anaweza kutayarisha kiongozi mzuri wa kumrithi pindi muda wake ukiishaa.Siku hizi haipiti siku mbili bila kusikia kile kinachotangazwa kuwa
'wananchi wanataka Magufuli aongezewe muda'
Na ukifuatilia zaidi unagundua sio wananchi bali ni 'mipango mipango' tu
ya watu wachache.....
cha kushangaza Magufuli hata nusu ya miaka mitano tu ya kwanza hajamaliza...
na wala sio kwamba anakaribia kufikisha miaka kumi ya urais wake
Lakini 'harakati za waziwazi sasa zinaonekana' za kuweka mazingira
ya kumuwezesha akae zaidi ya kikomo cha miaka 10 kama wenzie...
Swali la kujiuliza.....anataka kuwa Rais wa maisha?
ni kweli miaka 10 haimtoshi?
tajiri yako ndio hivyo tena, kwishney!!Nadhani ana mpango wa kufia madarakani. Mimi sidhani kama ana ana uwezo wa kuwa Rais wa Maisha.
Wakati mwingine wabongo tuna majungu sana, kwann usiujazie nyama uzi wako kwa kuuwekea nyama? Mfano:Siku hizi haipiti siku mbili bila kusikia kile kinachotangazwa kuwa
'wananchi wanataka Magufuli aongezewe muda'
Na ukifuatilia zaidi unagundua sio wananchi bali ni 'mipango mipango' tu
ya watu wachache.....
cha kushangaza Magufuli hata nusu ya miaka mitano tu ya kwanza hajamaliza...
na wala sio kwamba anakaribia kufikisha miaka kumi ya urais wake
Lakini 'harakati za waziwazi sasa zinaonekana' za kuweka mazingira
ya kumuwezesha akae zaidi ya kikomo cha miaka 10 kama wenzie...
Swali la kujiuliza.....anataka kuwa Rais wa maisha?
ni kweli miaka 10 haimtoshi?
Wakati mwingine wabongo tuna majungu sana, kwann usiujazie nyama uzi wako kwa kuuwekea nyama? Mfano:
1. Unaweza tujulisha hiyo "mipango mipango" ni IPI na umeijuaje?
2. Unaweza tuorodheshea matukio ya wiki 2 mbili zilizopita yakionyesha watu/wananchi hao kila baada ya siku 2?
Na pengine, nafahamu ulikuwa staunch critic wa JK, utueleze katika hali ilipofikia ungependa JK aendelee?
Nani JPM anacho kizuri na kipi ni kibaya? Siamini kama hana mazuri anayoyafanya.
Tuondoe hofu na tusipandikize chuki bila sababu, kwenye kukosoa tukosoe lkn kwenye haki tutoe haki, let's not be one sided!
Nchi ni yetu sote na inaongozwa kwa katiba na sheria. Una haki ya kupinga, legally, kama kuna jambo linakiukwa na halifuati sheria/katiba ya nchi.
Siku hizi haipiti siku mbili bila kusikia kile kinachotangazwa kuwa
'wananchi wanataka Magufuli aongezewe muda'
Na ukifuatilia zaidi unagundua sio wananchi bali ni 'mipango mipango' tu
ya watu wachache.....
cha kushangaza Magufuli hata nusu ya miaka mitano tu ya kwanza hajamaliza...
na wala sio kwamba anakaribia kufikisha miaka kumi ya urais wake
Lakini 'harakati za waziwazi sasa zinaonekana' za kuweka mazingira
ya kumuwezesha akae zaidi ya kikomo cha miaka 10 kama wenzie...
Swali la kujiuliza.....anataka kuwa Rais wa maisha?
ni kweli miaka 10 haimtoshi?
Watanzania wazalendo na wenye akili timamu lazima watampenda na kumpongeza Magufuli hakuna Raisi anaewapenda wananchi wake kama Raisi Magufuli hata Nchi nyingi za Africa wanamkubali MagufuliHabar wakuu,amani iwe juu yenu
Wananchi mkoa wa Mara kijiji cha Nyamuswa wakiongozwa na wazir mkuu mstaafu jaji Sinde Warioba wameeandamana na kuweka mkutano kwa lengo la kumpongeza rais Magufuli kwa kusimamia rasilimali za taifa ipasavyo..wananchi hao walienda mbali zaid kwa kubeba mabango yanayomtaka rais Maguful aongoze miaka 100!
My take:Hata Rwanda walianza hivi hivi chondechonde watz wenzangu tuwe makini kuna harufu ya ukagame inanukia,
Kwani hata kagame alianza VP,nashukuru Kwa kuwashtukia wapambe Wa mpango huo,tusubili mda utaongea wameanza kama wananchi na baadae watakuja wabunge,refer hotuba ya Mwalimu kuchezea katiba,lakini Kwa Mimi Kwa magufuli sijui kama atakubaliana na hill Kwa cku zote analalamika Kwa watanzania kumpa kazi ngumu sana ya urais!
Kiongozi bora huwa hahitaji kusifiwa na wala huwa hadai sifa ,ukioina kuna dalili za kuongozi kudai kusifiwa ama kupenda sifa hakika kiongozi huyo anakasoroHabar wakuu,amani iwe juu yenu
Wananchi mkoa wa Mara kijiji cha Nyamuswa wakiongozwa na wazir mkuu mstaafu jaji Sinde Warioba wameeandamana na kuweka mkutano kwa lengo la kumpongeza rais Magufuli kwa kusimamia rasilimali za taifa ipasavyo..wananchi hao walienda mbali zaid kwa kubeba mabango yanayomtaka rais Maguful aongoze miaka 100!
My take:Hata Rwanda walianza hivi hivi chondechonde watz wenzangu tuwe makini kuna harufu ya ukagame inanukia,
Kinachokufanya umchukie Magufuli ni nini? Usifuate mkumbo fanya kazi kwa bidii na maarifa acha kutegemea serikali nduguWewe peke yako ndo unamhitaji atawale milele..
hata akibadili katiba kuna kifo hataweza kukikwepa milele
Mko wengi na nani?! Anayejiamini hakatai Tume huru ya uchaguzi!. Hatumii dola kunyanyasa wapinzani wake!!!Hayo ni yako tu lkn wananchi tulio wengi tunamsapoti Raisi wetu Magufuli na tunahitaji atawale milele Wanaompinga Magufuli ni watu wavivu wezi wahujumu uchumi