WanajichunguzaBado polisi wapo kwenye uchunguzi wa kuwatambua π
Nan huyo mkuu..?Wakati haya yakiendelea, mtu Fulani mkubwa kajificha uvunguni kimyaaπ€
Yani anatowa macho tu huko uvunguni....Wakati haya yakiendelea, mtu Fulani mkubwa kajificha uvunguni kimyaaπ€
Sasa yenyewe imeandikqa kiingilishi.Sababu Polisi ni wazembe wa kusoma na wazito wa kuelewa, imepelekea hata wasiwe wanaisoma PGO.
Chukueni hii PGO, wasambazieni wananchi huko mitaani ili waanze kuisoma waielewe na waanze kuitumia.
Itoe Dar es Salaam Mkuu, watu wa Dar wako selfish sana hawawezi kuja kufanya hivo hata siku moja, haya mambo utayasikia mikoani tu......Kama nchi nzima ikiamka hivi kwa namna fulani haya matukio yatakoma kabisa.
Kwani alitekwa mtu hapo tanga ..? Acha ufala tanga ndio sehemu ambayo hauwez kumteka mtu kipuuzi tuHii ndio akili kule kanda ya ziwa wanajitambua sana sio jamaa wa Tanga waoga kama Mnyika
Safi sana, kazi iendelee, hii iwe hata kwa wanaovaa sare kwa maana tumesha kuwashudia mapolisi feki
Hata wenye sare mpaka kuwe na polisi kata kwasasa Tanzania kuna polisi kata ambaye hujulikana hata na mwenyekiti wa mtaa na baadhi ya wana jamiiUkikamatwa na mtu asiye na uniform za polisi kama wako na gari likamatwe na wahojiwe kwanza. Na wawe na barua ya RPC wa mkoa husika
Hakuna kutekwa kizembeHii ndio akili kule kanda ya ziwa wanajitambua sana sio jamaa wa Tanga waoga kama Mnyika
Tena wangewapiga kiberiti kabisa iwe funzo.Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Sasa yenyewe imeandikqa kiingilishi.