Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

Safi sana, kazi iendelee, hii iwe hata kwa wanaovaa sare kwa maana tumesha kuwashudia mapolisi feki

Ukikamatwa na mtu asiye na uniform za polisi kama wako na gari likamatwe na wahojiwe kwanza. Na wawe na barua ya RPC wa mkoa husika
Hata wenye sare mpaka kuwe na polisi kata kwasasa Tanzania kuna polisi kata ambaye hujulikana hata na mwenyekiti wa mtaa na baadhi ya wana jamii
 
Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.

Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.

Tena wangewapiga kiberiti kabisa iwe funzo.
 
Back
Top Bottom