Wananchi Mwanza wazuia Jaribio la Jeshi la Polisi kutaka kumkamata John Heche

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?

Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?

YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.

inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.

Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.

Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili

Yan kama walivyomteka LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumtekea Heche ??.

View: https://youtu.be/eviWmzaN_tc?si=RSaAFbaZGFoA0PBr

BAADA YA CHADEMA KUSHIKA NCHI HII, NI LAZIMA JESHI LA POLISI LIFUMULIWE , LINA VILAZA WENGI SANA, HAWA WATU VYUONI WANAFUNDISHWA MATUMIZI YA NGUVU SANA KULIKO AKILI

JF mods rekebisheni kichwa cha habari hakifai.

Siasa hizi za kudogodesha watu mimi sizipendi.

Tufanye siasa safi wananchi wataelewa tu.

Yangu ni hayo tu.
 
Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?

Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?

YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.

inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.

Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.

Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili

Mtu kama huyu unamuandikia barua aka report kituo fulani, haina haja ya kutumia nguvu kiasi hiki
 
Hivi kuna chain of command kwenye hizi taasisi za umma? Ni mbaya kama wote wana mtazamo mmoja kwenye yote haya na hivyo hakuna wa kuwajibika wala kumwajibisha mwingine.
 
Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi

Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi

Wana CHADEMA wameteka barabara

Polisi kuweni wakali tafadhali

Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk

Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
 
Back
Top Bottom