Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
JF mods rekebisheni kichwa cha habari hakifai.Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?
Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?
YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.
inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.
Yan kama walivyomteka LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumtekea Heche ??.
View: https://youtu.be/eviWmzaN_tc?si=RSaAFbaZGFoA0PBr
BAADA YA CHADEMA KUSHIKA NCHI HII, NI LAZIMA JESHI LA POLISI LIFUMULIWE , LINA VILAZA WENGI SANA, HAWA WATU VYUONI WANAFUNDISHWA MATUMIZI YA NGUVU SANA KULIKO AKILI
Mjinga ni mjinga, Mjinga Hana namna nyingine ya kumuelezea ,ni mjinga tu.JF mods rekebisheni kichwa cha habari hakifai.
Siasa hizi za kudogodesha watu mimi sizipendi.
Tufanye siasa safi wananchi wataelewa tu.
Yangu ni hayo tu.
Jambo nilonalo uhakika Hawa watu Vyeti vimejaa ma F F F na D 3JF mods rekebisheni kichwa cha habari hakifai.
Siasa hizi za kudogodesha watu mimi sizipendi.
Tufanye siasa safi wananchi wataelewa tu.
Yangu ni hayo tu.
Polisi hawakuwa na nia ya kumkamata wasingeshindwa.
😂Nawapongeza polisi kama wameshindwa kumchukua wakambebe usiku akiwa amelala
Mtu kama huyu unamuandikia barua aka report kituo fulani, haina haja ya kutumia nguvu kiasi hikiHawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?
Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?
YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.
inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.
Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.
Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili
Kwani shida nini mkuu?JF mods rekebisheni kichwa cha habari hakifai.
Siasa hizi za kudogodesha watu mimi sizipendi.
Tufanye siasa safi wananchi wataelewa tu.
Yangu ni hayo tu.
Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi