HARRISON ONE
Member
- Jan 8, 2014
- 42
- 30
uko sahihi Mbeya ligi ya mabasi ni long time enzi za kina matema beach safina luck star hekima ...Ligi ya hayo mabasi haikuanza leo au jana! Ilishakuwepo tangu enzi hizo za akina Kiswele/mwanahapa, Comfort, Lupelo, Scandinavia, Lang'ata, nk. Tena gari zilikuwa zinatembea usiku kwa usiku! Yaani asubuhi hiyo barabara Dar Mbeya, unakutana na masemi trailler pekee! Tena yale ya pulling!..
Acha ufara ayo mabasi yanatoka mbeya kwenda mbeya?Mbeya ni ushamba mwanzo-mwenga
Sasa kama Kuna mikoa inapeleka gari chache DSM unazan ushindani wa gari unakuja wap af ajari ipo tu at gari ikitembea taratibu na Kama we ni muoga upandage gari MoshiKuna tabia ya ushabiki wa mwendokasi wa mabasi hasa yaendayo Mbeya ambayo naona siku hadi siku inazidi kukua. Sasa sijui ni ushamba au nini.
Kufukuzana huko mtakuja kufa kwa kwa ujinga. Mikoa mingi sasa ina kampuni kubwa za mabasi ya abiria lakini hawana ujinga huo kama wanaofanya mabasi ya Mbeya -Dar.
Kwa taarifa yako asilimia 80 ya madereva wa magari makubwa tukianzia mabasi mpaka maroli wanatea mikoa ya Mbeya songwe na Iringa na ndio vidume njia zote mpaka huko kwako na wao sera ni moja chapailaleLigi ya hayo mabasi haikuanza leo au jana! Ilishakuwepo tangu enzi hizo za akina Kiswele/mwanahapa, Comfort, Lupelo, Scandinavia, Lang'ata, nk. Tena gari zilikuwa zinatembea usiku kwa usiku! Yaani asubuhi hiyo barabara Dar Mbeya, unakutana na masemi trailler pekee! Tena yale ya pulling!
Hivyo kwa sasa ni muendelezo tu! Na hasa ukichukulia hiyo route ina wafanyabiashara wengi, ambao kimsingi kwao muda ni mali. Anyway, sishabikii mwendokasi! Ila pia si muumini wa kuona gari linapoteza muda mwingi barabara kwa sababu nyepesi nyepesi. Kufa kupo tu.
Baada ya mabasi ya Moshi kupata ajari na kuua Kibaha na kuacha mtindo huo Mbeya wakashika mkwanja wa spidi, na wakati huo walikuwa na mabasi mazuri na barabara nzuri kuliko zote. Ukitoka Dar saa 12 asubuhi saa 9 mchana uko Kyela, shabash! Chombo hakifunguliwi madirisha mpaka kinafika, ukifungua dirisha mizigo ya ndani inaanguka.Kuna tabia ya ushabiki wa mwendokasi wa mabasi hasa yaendayo Mbeya ambayo naona siku hadi siku inazidi kukua. Sasa sijui ni ushamba au nini.
Kufukuzana huko mtakuja kufa kwa kwa ujinga. Mikoa mingi sasa ina kampuni kubwa za mabasi ya abiria lakini hawana ujinga huo kama wanaofanya mabasi ya Mbeya -Dar.
Niliwahi kutoka njombe saa 06:00 nikafika dar saa 15 kasoro. BUDGET hiyo.Baada ya mabasi ya Moshi kupata ajari na kuua Kibaha na kuacha mtindo huo Mbeya wakashika mkwanja wa spidi, na wakati huo walikuwa na mabasi mazuri na barabara nzuri kuliko zote. Ukitoka Dar saa 12 asubuhi saa 9 mchana uko Kyela, shabash! Chombo hakifunguliwi madirisha mpaka kinafika, ukifungua dirisha mizigo ya ndani inaanguka.