Wananchi na wasafiri wa Mbeya na ushabiki wa mwendokasi wa mabasi ya abiria

Niliwahi kutoka njombe saa 06:00 nikafika dar saa 15 kasoro. BUDGET hiyo.
siku hiyi unafika saa 18 kwa muda huo wa kutoka.
Nakumbuka miaka ya nyuma wanafunzi wa Dar apo chimala tunasubir Budget tu
Na Majinjaa ,Happy nation hyoo 2010 Dar unaingia jua alijazama noma kweli
 
Sumry kiboko, siku moja mabasi 3 ya Sumry yalipata ajali shauri ya mwendokasi yakitokea Sumbawanga kwenda Dar.
 
Wivu tu huo.

Huku upande wa pili nako BM, Esta, Extra, Tilisho saa 15 zimepaki pale shekilango, hizo zinatokea Arusha na hapo zimewahi kwelikweli njiani ni kufukuza upepo tu na ving'amuzi vinapiga kelele.
 
Sasa kama Kuna mikoa inapeleka gari chache DSM unazan ushindani wa gari unakuja wap af ajari ipo tu at gari ikitembea taratibu na Kama we ni muoga upandage gari Moshi
Mkoa unao ongoza Kwa magari mengi Kwa route ya Dar ni Arusha
 
Wivu tu huo.

Huku upande wa pili nako BM, Esta, Extra, Tilisho saa 15 zimepaki pale shekilango, hizo zinatokea Arusha na hapo zimewahi kwelikweli njiani ni kufukuza upepo tu na ving'amuzi vinapiga kele

Mkoa unao ongoza Kwa magari mengi Kwa route ya Dar ni Arusha
Umechemka kwa sasa iringa ina mabasi mengi kwasababu wana ruti nyingi zinapita hapo kwa mfano Njombe,Makete,Songea,Mafinga,Mbeya,Tunduma,Tukuyu,Kyela,Rudewa,Rujewa ,Rukwa n.k zote zinapita iringa na kila ruti mabasi zaidi ya matano mpaka usiku hapo umeelewa
 
sahihi kabisa.
 
Uzoefu wangu Mbeya.

Ni mabingwa wa kuchambua na kutabiri hatma ya watu.

Siku moja nimepanda ki-Coster toka Tukuyu mpaka Mbeya. Dereva na jamaa mmoja alikaa kushoto kwake. Walimchambua mtu na maisha yake toka tunaondoka Tukuyu mpaka tunafika Mbeya. Nilishangaa sana!
Wanaboa sana kuna ushindani wa kipuuzi sana kati ya Sauli na Golden deer na mamlaka zinaona ila siku wakichinjana huko utaona wanavyoibuka na matamko
 
Nakumbuka miaka ya nyuma wanafunzi wa Dar apo chimala tunasubir Budget tu
Na Majinjaa ,Happy nation hyoo 2010 Dar unaingia jua alijazama noma kweli
Kuna bus moja la kampuni ya happy nation, lilikuwa limeandikwa tubu dhambi zako. Yaani ukilipanda unatakiwa uwe umemalizana na muumba wako kabisa.
Nilishangaa sana siku niliyoenda Mbeya kwa mara ya kwanza, dereva wa bus alikuwa anakimbiza gari, pale mlima kitonga mwendo aliopita nao ilikuwa ni hatari tupu, alinifanya nilifikirie kuchukua gari lingine Iringa.​
 
Halafu hizo Tambo za mabasi kushindana ubora wanaziweka mitandaoni na Trafiki hawachukui hatua...Iko siku Basi Zima litapukutika iwe fundisho.....Binadamu sisi huwa tunashangilia Sana Mambo yakijinga Sana hutujui few hours tunaweza pata vilema vya maisha na vifo kwa hiyo tabia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ligi ipo miaka mingi sana. Hiyo ruti ndiyo ilisababisha habari za kuleta spidi gavana.
 
Kuna jamaa mmoja naona anarusha mpaka youtube anatangaza,anasifia utafikiri mechi ya mpira...jamaa kwa maongezi yake kakaa kimkoamkoani 😂

Ova
 
Umechemka kwa sasa iringa ina mabasi mengi kwasababu wana ruti nyingi zinapita hapo kwa mfano Njombe,Makete,Songea,Mafinga,Mbeya,Tunduma,Tukuyu,Kyela,Rudewa,Rujewa ,Rukwa n.k zote zinapita iringa na kila ruti mabasi zaidi ya matano mpaka usiku hapo umeelewa
Kwa hoja yako iyo bas morogoro ndo wanna route nyingi
 
Uzoefu wangu Mbeya.

Ni mabingwa wa kuchambua na kutabiri hatma ya watu.

Siku moja nimepanda ki-Coster toka Tukuyu mpaka Mbeya. Dereva na jamaa mmoja alikaa kushoto kwake. Walimchambua mtu na maisha yake toka tunaondoka Tukuyu mpaka tunafika Mbeya. Nilishangaa sana!
Una uhakika dereva na uyo wapembeni ake ni watu wa mbeya labda ni wakuja tu
 
Kwa hoja yako iyo bas morogoro ndo wanna route nyingi
elewa kiongozi gari ya mbeya haipakii abiria wa Mororgoro ingawa inapita hapo lakini gari ya Songea inapakia abiria wa iringa umenisoma
 
Back
Top Bottom