Nakumbuka miaka ya nyuma wanafunzi wa Dar apo chimala tunasubir Budget tuNiliwahi kutoka njombe saa 06:00 nikafika dar saa 15 kasoro. BUDGET hiyo.
siku hiyi unafika saa 18 kwa muda huo wa kutoka.
Sumry kiboko, siku moja mabasi 3 ya Sumry yalipata ajali shauri ya mwendokasi yakitokea Sumbawanga kwenda Dar.Nakumbuka miaka ya nyuma wanafunzi wa Dar apo chimala tunasubir Budget tu
Na Majinjaa ,Happy nation hyoo 2010 Dar unaingia jua alijazama noma kweli
Mkoa unao ongoza Kwa magari mengi Kwa route ya Dar ni ArushaSasa kama Kuna mikoa inapeleka gari chache DSM unazan ushindani wa gari unakuja wap af ajari ipo tu at gari ikitembea taratibu na Kama we ni muoga upandage gari Moshi
Wivu tu huo.
Huku upande wa pili nako BM, Esta, Extra, Tilisho saa 15 zimepaki pale shekilango, hizo zinatokea Arusha na hapo zimewahi kwelikweli njiani ni kufukuza upepo tu na ving'amuzi vinapiga kele
Umechemka kwa sasa iringa ina mabasi mengi kwasababu wana ruti nyingi zinapita hapo kwa mfano Njombe,Makete,Songea,Mafinga,Mbeya,Tunduma,Tukuyu,Kyela,Rudewa,Rujewa ,Rukwa n.k zote zinapita iringa na kila ruti mabasi zaidi ya matano mpaka usiku hapo umeelewaMkoa unao ongoza Kwa magari mengi Kwa route ya Dar ni Arusha
sahihi kabisa.Umechemka kwa sasa iringa ina mabasi mengi kwasababu wana ruti nyingi zinapita hapo kwa mfano Njombe,Makete,Songea,Mafinga,Mbeya,Tunduma,Tukuyu,Kyela,Rudewa,Rujewa ,Rukwa n.k zote zinapita iringa na kila ruti mabasi zaidi ya matano mpaka usiku hapo umeelewa

Wanaboa sana kuna ushindani wa kipuuzi sana kati ya Sauli na Golden deer na mamlaka zinaona ila siku wakichinjana huko utaona wanavyoibuka na matamkoUzoefu wangu Mbeya.
Ni mabingwa wa kuchambua na kutabiri hatma ya watu.
Siku moja nimepanda ki-Coster toka Tukuyu mpaka Mbeya. Dereva na jamaa mmoja alikaa kushoto kwake. Walimchambua mtu na maisha yake toka tunaondoka Tukuyu mpaka tunafika Mbeya. Nilishangaa sana!
Wote wanaofurahia udwanzi huu wengi ni kutoka nyanda za juu kusini totally Naive GuysAcha ufara ayo mabasi yanatoka mbeya kwenda mbeya?
Nakumbuka miaka ya nyuma wanafunzi wa Dar apo chimala tunasubir Budget tu
Na Majinjaa ,Happy nation hyoo 2010 Dar unaingia jua alijazama noma kweli
Umeua. Ni ushamba wa kiwango cha 5G.Huko watu bado waporipori sana
Kwa hoja yako iyo bas morogoro ndo wanna route nyingiUmechemka kwa sasa iringa ina mabasi mengi kwasababu wana ruti nyingi zinapita hapo kwa mfano Njombe,Makete,Songea,Mafinga,Mbeya,Tunduma,Tukuyu,Kyela,Rudewa,Rujewa ,Rukwa n.k zote zinapita iringa na kila ruti mabasi zaidi ya matano mpaka usiku hapo umeelewa
Una uhakika dereva na uyo wapembeni ake ni watu wa mbeya labda ni wakuja tuUzoefu wangu Mbeya.
Ni mabingwa wa kuchambua na kutabiri hatma ya watu.
Siku moja nimepanda ki-Coster toka Tukuyu mpaka Mbeya. Dereva na jamaa mmoja alikaa kushoto kwake. Walimchambua mtu na maisha yake toka tunaondoka Tukuyu mpaka tunafika Mbeya. Nilishangaa sana!
elewa kiongozi gari ya mbeya haipakii abiria wa Mororgoro ingawa inapita hapo lakini gari ya Songea inapakia abiria wa iringa umenisomaKwa hoja yako iyo bas morogoro ndo wanna route nyingi