Wananchi Simiyu wawajengea walimu nyumba za matope

Aibu sana kwa serikali ya ccm
 
Kua mwalimu kumbe ni umaskini basi marafiki zangu walioajiriwa mwaka jana na sasa hv wameanza kumiliki viwanja na ujenzi ..wote hao ni maskini
Inategemea anajenga sehem gani kuna sehem bongo hapa kiwanja laki moja au mbili na ujenzi unajengea tofali ka izo so hata mkulima anajenga sema anajengea wapi na kwa mwalim kuajiriwa mwaka uliopita kuwa na kiwanja labda mkopo iyo kwa mfanya kazi wwte hawez kufanya ivo hata dr hawez
 
CCM ndio chanzo cha ufukara huu.
 
Duh! Huyu mother Nchi imemshinda kabisa.rasilimali zote tulizonazo ameshindwa kuzisimamia hadi watumishi kudhalilishwa kwa kujengewa nyumba za hovyo namna hiyo?bora ajiuzulu tu ili kulinda heshima.
Kwani hiyo shule imejengwa kipindi cha mama?
Magufuli ndiye mshenzi nambari 1, yeye ndo kaiharibu nchi
 
Kwa kauli hii Unaweza ukahisi wale wote wasiokuwa walimu nchi hii ni matajiri.
Hivi hizi akili za kijinga huwa mnatoa wapi ?
Kazungumzua mtu kuchagua kua mwalimu kwasababu sio lazima watu wote wawe walimu.Lakini pia iko wazi kua kada ya ualimu ndio kada isiyothaminika hapa nchini.ndo maana watumishi waliokimbia ualimu nakukimbilia kada zingine na kwenye siasa wengi zaid wametoka kwenye ualimu.
 
Mama anaupiga mwingi utasikia chawa akisifia huku amekalia kitu kigumu
 
Adui NAMBA MOJA wa nchi hii na wananchi ni CCM, kwa bahati mbaya itachukua muda mrefu dhana hii kufahamika kwa wananchi wengi hasa wa maeneo ya vijijini huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…