BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Mimi kero yangu au naweza kusema kero ya watu wengi huku mtaani kwetu Tabata Kisukuru ni kuwa gari la Taka halijaonekana muda mrefu na taka zimejaa kwenye nyumba nyingi mpaka zinanuka na kutengeneza wadudu.
Kero nyingine ni kuwa maji ni ya shida sana yaani tunataabika kwelikweli, tupazieni sauti sisi Wananchi wa Kisukuru.