Wananchi tuamke...viongozi kutokuheshimu Katiba wala viapo vyao, Idara ya Mahakama imetuangusha!

Kukata tamaa ni sawa na kumuabudu shetani .
Sijakata tamaa ila sipotezi muda tena kuwashauri wanasiasa, ni bora niwe Mchungaji nirudishe kondoo wa bwana waliopotea sio kupoteza muda kwenye upuuzi wa siasa
 
Pumba tu.

Kwani Bulaya aliwekwa ndani kwa sababu gani?

Ivi ni lini serikali itakemea ugaidi uliofanyika IMMMA? Au kuna ugaidi mzuri na ugaidi mbaya?
 
Pumba tu.

Kwani Bulaya aliwekwa ndani kwa sababu gani?
Lazima uone pumba maana wewe ni kilaza. Unashabikia mambo yasiyokuhusu, tena ambayo huyajui. Nikadhani utakuja na hoja tena. Vizuri sana.... inaonesha hoja zimekuishia na somo umelielewa. Kawahabarishe na ndugu zako.
 
Lazima uone pumba maana wewe ni kilaza. Unashabikia mambo yasiyokuhusu, tena ambayo huyajui. Nikadhani utakuja na hoja tena. Vizuri sana.... inaonesha hoja zimekuishia na somo umelielewa. Kawahabarishe na ndugu zako.

Unanichosha tu.Sina muda na ubishi wa kilevi.Bishana na wanao hapo kwako.
 
Unanichosha tu.Sina muda na ubishi wa kilevi.Bishana na wanao hapo kwako.
Ndio kuishiwa hoja huko. mwanzoni uliuwa sharp kweli, nimekupa fact unatoa visingizio. Pole sana
 
Asanteni maGT wa JF kwa kmupuuzia mjinga moja ambaye anadhani anajua kumbe hajui chochote, kaihatamia thread kwa upuuzi na kama kawaida kichaa akivamia nguo zako ukioga mtoni, humfukuzi...onlookers might not tell the difference between the two.

Katika awamu hii ushawishi umeshindikana na kilichobakia ni matumizi ya ubabe kama zao la ukurupukaji wa kijinga. Kichaa kapewa rungu na utawala wa sheria kupewa likizo. Ambaye haoni kinachotokea ni wa kuhurumiwa, kupewa pole na kupuuzwa...so sad!
 

Mkuu, you de Mad!! You de m.o.f.o!
 
Kwa kweli inasikitisha kaimu jaji kua kimya hivi nae anaogopa kutufutwa hio nafasi au vipi kama vipi aweke msimamo sio anakua kama kibogoyo
 
Hata akitoa msimamo akitolewa, akiweka mwingine aweke msimamo vivyo hivyo sizonje hawezi kubadili kaimu jaji 6 itamlazimu tu ateue jaji mkuu
 
Na kupigia kelele utekelezaji unaofanywa kwa mujibu wa sheria ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa au kumlazimisha punda kunywa maji.
Kumbe katiba hii inayovunjwa ni kwa mujibu wa sheria !
 
Mkuu inaonekana una roho mbaya sana.. Bila shaka ww n bashite!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…