Wananchi tuamke...viongozi kutokuheshimu Katiba wala viapo vyao, Idara ya Mahakama imetuangusha!

Wananchi tuamke...viongozi kutokuheshimu Katiba wala viapo vyao, Idara ya Mahakama imetuangusha!

Kukata tamaa ni sawa na kumuabudu shetani .
Sijakata tamaa ila sipotezi muda tena kuwashauri wanasiasa, ni bora niwe Mchungaji nirudishe kondoo wa bwana waliopotea sio kupoteza muda kwenye upuuzi wa siasa
 
.

Tatizo unaandika bila mifano hai (sheria husika).
  1. Nilisema na ninarudia tena kusema..: serikali haijazuiwa na mahakama kubomoa. Hiyo mnayoiita stop order ni uhuni tu na kamwa haiwezi kutumika kuzuia shughuli za serikali (au hata zangu mimi mtu bibafsi). unaweza kuniambia Stop order inatolewa au kuombwa kwa msingi wa sheria gani? Tafadhali tafuta mwanasheria unaemfahamu muulizie kuhusu hili. Sometimes naona itolewe elimu kwa umma kuhusu huu mkanganyiko -wanachi wanaangania kwa kutojua ukweli.
  2. Ni uongo ulio wazi kuwa vyama vyote vimepigwa marufuku kufanya mikutano ya kisiasa. Sijui umeambiwa na watu au unauhakika na hili? Kila siku vyama vya siasa vinaendesha mikutano yao ya kisiasa, kilichopo ni kuwa kuna mipaka ya kuendesha hizo siasa iliyowekwa.
  3. Kama nilivyosema awali, uhuru wa kutoa na kupokea upo kikatiba, sheria kama uliyoitaja ( ya mitandao) haiondoi uhuru huo uliowekwa kikatiba, isipokuwa inatoa muongozo wa kupokea na kutoa habari. Taarifa za bunge hazijafichwa, labda wewe ndugu yetu hujui namna ya kuzipata. Kamata kamata lazima ziendelee kwa sababu watu wanavunja sheria. Ingekuwa vizuri pia ungezitaja kamatakamata hizo hapa, pengine unangea kishabiki zaidi.
  4. Msajili kafanya hujuma gani CUF? kila kitu kinaenda kwa mujibu wa sheria, vinginevyo useme sheria (na kifungu) iliyovunjwa.
Halafu umesema uko kenya, kama ni hivyo basi ni ngumu sana kufahamu ya tanzania kwa sababu hata sheria za tanzania huzijui, na unaamini unayoyasikia kwenye mitandao ya kijamii tu. Malizeni kwanza ya kwenu huko.
Pumba tu.

Kwani Bulaya aliwekwa ndani kwa sababu gani?

Ivi ni lini serikali itakemea ugaidi uliofanyika IMMMA? Au kuna ugaidi mzuri na ugaidi mbaya?
 
Pumba tu.

Kwani Bulaya aliwekwa ndani kwa sababu gani?
Lazima uone pumba maana wewe ni kilaza. Unashabikia mambo yasiyokuhusu, tena ambayo huyajui. Nikadhani utakuja na hoja tena. Vizuri sana.... inaonesha hoja zimekuishia na somo umelielewa. Kawahabarishe na ndugu zako.
 
Lazima uone pumba maana wewe ni kilaza. Unashabikia mambo yasiyokuhusu, tena ambayo huyajui. Nikadhani utakuja na hoja tena. Vizuri sana.... inaonesha hoja zimekuishia na somo umelielewa. Kawahabarishe na ndugu zako.

Unanichosha tu.Sina muda na ubishi wa kilevi.Bishana na wanao hapo kwako.
 
Unanichosha tu.Sina muda na ubishi wa kilevi.Bishana na wanao hapo kwako.
Ndio kuishiwa hoja huko. mwanzoni uliuwa sharp kweli, nimekupa fact unatoa visingizio. Pole sana
 
Asanteni maGT wa JF kwa kmupuuzia mjinga moja ambaye anadhani anajua kumbe hajui chochote, kaihatamia thread kwa upuuzi na kama kawaida kichaa akivamia nguo zako ukioga mtoni, humfukuzi...onlookers might not tell the difference between the two.

Katika awamu hii ushawishi umeshindikana na kilichobakia ni matumizi ya ubabe kama zao la ukurupukaji wa kijinga. Kichaa kapewa rungu na utawala wa sheria kupewa likizo. Ambaye haoni kinachotokea ni wa kuhurumiwa, kupewa pole na kupuuzwa...so sad!
 
.
Stop order ni uhuni tu unaofanywa na makarani kuhadaa wasiojua sheria. Kuna mawakili pia wanafanya michezo kama hii. Serikali haifanyi kazi kwa vistop order, wala haizuiwi kufanya chochote kisa kuna kitu kinaitwa stop order. stop order ni uhuni wa kutishia wasiojua sheria tu.

Katika sheria kuna zuio ambalo huombwa kwa mujibu wa vifungu vya sheria na husikilizwa kwa utaratibu maalum (kati ya muomba zuio na muombewa zuio), baada ya hapo mahakama hufanya upembuzi na ikijiridhisha kuwa kuna haja ya kutoa zuio hutoa zuio. Kuna namna pia ya kufikisha zuio kwa mtu au taasisi iliyolengwa na hilo zuio, sio kwenda kubandika sijiu mlangoni sijui chooni au barabarani kama vile ni wito wa kawaida tu wa mahakama.

Zuio la mahakama ni amri ya kipekee, haiendeshwi ua kuchukuliwa kama amri zingine za kawaida au wito wa kawaida, hii ni kutokama na mazingira inayotolewa na jinsi nature yake ilivyo. Amri ya zuio inao utaratibu wa kipekee kabisa kuanzia mtu binafsi, taasisi binafsi, mashirika ya umma, makampuni, taasisi za serikali, serikali za mitaa na hata serikali kuu. hii inamaana kuwa kuomba, kusikilizwa na kutolewa kwa Amri ya Zuio inatofautiana sana kutokana na wahusika wa kesi yenyewe, mfano kumzuia mtu binafsi au kampuni binafsi ni totauti kabisa na kuizuia serikali.

Stop order haiwezi kulinganishwa na Amri ya Zuio kwa namna yoyote ile. Stop order ni zao tofauti kabisa na amri ya zuio katika sheria.

Mkuu, you de Mad!! You de m.o.f.o!
 
Kwa kweli inasikitisha kaimu jaji kua kimya hivi nae anaogopa kutufutwa hio nafasi au vipi kama vipi aweke msimamo sio anakua kama kibogoyo
 
Hata akitoa msimamo akitolewa, akiweka mwingine aweke msimamo vivyo hivyo sizonje hawezi kubadili kaimu jaji 6 itamlazimu tu ateue jaji mkuu
 
Na kupigia kelele utekelezaji unaofanywa kwa mujibu wa sheria ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa au kumlazimisha punda kunywa maji.
Kumbe katiba hii inayovunjwa ni kwa mujibu wa sheria !
 
kwa taarifa yako ubomoaji unafanyika kwa mujibu wa sheria. Ni kweli kuna baadhi (sio wote) ya waliobomolewa majengo yao walifungua kesi mahakamani. Cha kushangaza wanadai mahakama imetoa zuio wakati kiukweli mahakama haijatoa zuio lolote dhidi ya serikali au Tanroads. Kuna baadhi walionesha makaratasi (nami mimeyaona) wakidai ndio zuio jenyewe, ukweli ni kwamba lile si zuio la mahakama. Mengi yameandikwa stop order. Stop order sio amri ya zuio inayotakiwa kuombwa na kutolewa na mahakama dhidi ya serikali. Kwanza nina mashaka na hao waliosambaza hizo stop order. Mahakama haiwezi kutoa kitu kama stop order dhidi ya serikali.

kwa kifupi hizo mnazoziita stop oder si zuio la kuzuia serikali au chombo au taasisi ya serikali isifanye utekelezaji wa mipango yake.
Mkuu inaonekana una roho mbaya sana.. Bila shaka ww n bashite!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom