Wananchi tunafeli wapi kununua tiketi?

Mbaya zaidi msemaji wa yanga, anapoiamsha Simba bila kujua anachofanya.
.Katika kampeni ya kuhamasisha mashabiki wao wapendane, kila mtoto na kuongea ansitaja Simba.
.Mfano mechi iko moja tu, ya tarehe 26, tarehe 27 ni siku ya uchaguxi twende tukapige kura.
.Akiongea mashabiki wa Simba wanakumbushwa siku ya mechi ya siku ya mapunziko hakuna kazi, hivyo hukata shauri na kununua kununua tiketi.
HIzi unapoziponda ukidhani unawakatidha tamaa, kupende ndiyo unawahamasisha kuipenda timu yao zaidi.
 
Timu lako lipo mashindano ya akina mama
 
Unajichanganya.
 
Wameshaona misindano yao imeshashtukiwa hawajiamini tena hivyo wanaogopa kuaibika wakiingia uwanjani
 
Hii akiona Scars atapata msongo wa mawazo
Sasa Simba ameanza lini hamasa za kununua tiketi?

Au umesahau kuwa tulikuwa na mechi kule Mwanza wakati nyie tayari mlikuwa mpo kwenye hamasa za kununua tiketi?

Kingine bei ya chini ya tiketi za Simba ni 5,000 wakati nyie ni 3,000

Kwa hiyo ukifanya sum up utaona idadi ya hizo tiketi zilizonunuliwa na mashabiki wa Yanga ukizidisha mara mbili bado haifikii kiasi ambacho kimepatikana kwenye tiketi hizo za Simba.
 
Hello,

Mwananchi mbona umetumia lugha Kali saana??

Kimsingi ukiacha swala la siku ya Kazi, hamasa Kwa yanga ni kubwa ila mwitikio ni mdogo kutokana na mwenendo WA timu ndani na nje ya uwanja.

Nawatakia kila la kheriπŸ’šπŸ’š
 
Hujapitia comments sumbai za hao wanaokesha na timu si yao. Wametutukana, tena zaidi Wanawake wa Yanga. Soma utakuja kuona nilichoandika ni cha kawaida.
Tunashukuru na ikawe kheri πŸ™
 
Hujapitia comments sumbai za hao wanaokesha na timu si yao. Wametutukana, tena zaidi Wanawake wa Yanga. Soma utakuja kuona nilichoandika ni cha kawaida.
Tunashukuru na ikawe kheri πŸ™
Nimepitia. Poleni...

Hivi Leo anacheza nan namba SITA Kama aucho kaumia?? Kikosi kipana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…