Wananchi tunafeli wapi kununua tiketi?

Wananchi tunafeli wapi kununua tiketi?

Mbaya zaidi msemaji wa yanga, anapoiamsha Simba bila kujua anachofanya.
.Katika kampeni ya kuhamasisha mashabiki wao wapendane, kila mtoto na kuongea ansitaja Simba.
.Mfano mechi iko moja tu, ya tarehe 26, tarehe 27 ni siku ya uchaguxi twende tukapige kura.
.Akiongea mashabiki wa Simba wanakumbushwa siku ya mechi ya siku ya mapunziko hakuna kazi, hivyo hukata shauri na kununua kununua tiketi.
HIzi unapoziponda ukidhani unawakatidha tamaa, kupende ndiyo unawahamasisha kuipenda timu yao zaidi.
 
Sio kweli

Afu acheni excuses za kishamba

Kuna mechi ilichezwa jumamosi na muitikio wa mashabiki ulikuwa mdogo.

Tulipowauliza mkatuambia sababu ni jumamosi mashabiki wengi ni wasabato.

Kwa hiyo tunawajua...hakuna siku iliyowahi kutokea ambayo mashabiki hawakuja kwa wingi uwanjani halafu ikakosekana sababu
Timu lako lipo mashindano ya akina mama
 
Nilikuwa nafuatilia mahojiano waliyofanya waandishi wa habari na mashabiki waliohudhuria kwenye supu.

Kuna watu walitoka Mvuti kuifata supu jangwani.

Mvuti ile ni Morogoro A

Nikafikiria nikajisemea...Musa angewapata watu wa aina hii basi safari yake isingechukua miaka 40 kufika kanaani.
Unajichanganya.
 
1732599577946.jpg
utadhani nyie mna takwimu za maana🤣👐👐
 
Wameshaona misindano yao imeshashtukiwa hawajiamini tena hivyo wanaogopa kuaibika wakiingia uwanjani
 
Hii akiona Scars atapata msongo wa mawazo
Sasa Simba ameanza lini hamasa za kununua tiketi?

Au umesahau kuwa tulikuwa na mechi kule Mwanza wakati nyie tayari mlikuwa mpo kwenye hamasa za kununua tiketi?

Kingine bei ya chini ya tiketi za Simba ni 5,000 wakati nyie ni 3,000

Kwa hiyo ukifanya sum up utaona idadi ya hizo tiketi zilizonunuliwa na mashabiki wa Yanga ukizidisha mara mbili bado haifikii kiasi ambacho kimepatikana kwenye tiketi hizo za Simba.
 
Hili ndilo jibu, weekday. Anayesema hatuna mashabiki. Mara ya mwisho tumekutana na madunduka, Yanga tulijaa, ilibidi wakae hadi upande wa hao madomo kaya.

Kuna mashabiki wa mikoani, kwa siku ya kazi, kwao inawakuwa ngumu. Atakayeelewa ataelewa. Atakayejifanya bichwa lake gumu kuelewa tumuangalie tu kama nyanya mbichi.

#yangabingwa
#since1935
Hello,

Mwananchi mbona umetumia lugha Kali saana??

Kimsingi ukiacha swala la siku ya Kazi, hamasa Kwa yanga ni kubwa ila mwitikio ni mdogo kutokana na mwenendo WA timu ndani na nje ya uwanja.

Nawatakia kila la kheri💚💚
 
Hello,

Mwananchi mbona umetumia lugha Kali saana??

Kimsingi ukiacha swala la siku ya Kazi, hamasa Kwa yanga ni kubwa ila mwitikio ni mdogo kutokana na mwenendo WA timu ndani na nje ya uwanja.

Nawatakia kila la kheri💚💚
Hujapitia comments sumbai za hao wanaokesha na timu si yao. Wametutukana, tena zaidi Wanawake wa Yanga. Soma utakuja kuona nilichoandika ni cha kawaida.
Tunashukuru na ikawe kheri 🙏
 
Hujapitia comments sumbai za hao wanaokesha na timu si yao. Wametutukana, tena zaidi Wanawake wa Yanga. Soma utakuja kuona nilichoandika ni cha kawaida.
Tunashukuru na ikawe kheri 🙏
Nimepitia. Poleni...

Hivi Leo anacheza nan namba SITA Kama aucho kaumia?? Kikosi kipana
 
Back
Top Bottom