Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ina mashabiki wachache halafu ni maskini wengi wao wanawake wanaojiuza mitandaoni.Unadhani watanunua ticket bila kununuliwa?Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. [emoji24][emoji24] Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc [emoji172]
Una hakika wakisema kesho kutakuwa na supu ya bure kuna uwezekano supu ikakosa wanywaji kwasababu ni siku ya kazi?
Halafu sasa mkasema muanze kuchambua hizo kazi zenyewe ambazo kila mtu anasema yupo kaziniIla tukiitiwa supu tutajaa hata iwe siku ya kazi. "Mie nipewe kidari" alisikika mwiko nyuma
Umetoka nje ya madaTimu ina mashabiki wachache halafu ni maskini wengi wao wanawake wanaojiuza mitandaoni.Unadhani watanunua ticket bila kununuliwa?
😀😀😀Kwenye nyomi hii ya watu hakuna sura hata moja inayofanana na kauli mbiu "kesho ni siku ya kazi"
View attachment 3161639
Nilikuwa nafuatilia mahojiano waliyofanya waandishi wa habari na mashabiki waliohudhuria kwenye supu.
Yanga lia lia upo madam🤣#madomokaya
Tunaliweka hili sawa, watakaocheza baadaye ni Mabingwa wenu wa ligi ya NBC. Na si madomokaya.
Kwetu hata mashabiki 5 wakiingia uwanjani, timu itacheza na matokeo mazuri tutapata. Sisi siyo size yenu, tuko CAF Champions League, mna habari zetu. Zenu hatuna...
Madomokaya mnaumia, mna machungu sana na Yanga. Hii ndiyo timu ya Wananchi, lazima muipende. Hutaki meza tikiti maji, au kalia mshale. Imeisha hiyo 💉💊
#yangabingwa
🟡🟢🟡🟢🟡🟢
Anaeibisha abishe, ni kweli Yanga ina Mashabiki wachache ila Ina Wanachama wengi kuliko Simba.Shida ni kwamba hamtaki kukubaliana na ukweli kuwa timu yenu ina mashabiki wachache.
Mkilikubali hilo mtaishi vizuri.
Lakini kama kila kitu mnachotaka kukifanya mnaangalia Simba kilikuwaje hapo mtaishia kulaumiana tu.
Wewe dogo unapenda sana ushabiki wa kishamba unaona ndio dili.Shida ni kwamba hamtaki kukubaliana na ukweli kuwa timu yenu ina mashabiki wachache.
Mkilikubali hilo mtaishi vizuri.
Lakini kama kila kitu mnachotaka kukifanya mnaangalia Simba kilikuwaje hapo mtaishia kulaumiana tu.
Yanga inahitaji kushinda mechi kadhaa ili kurudisha imani ya watu kwenda uwanjani. Vile vile, Watanzania wengi sio mashabiki kweli wa mpira, utawaona wakishangalia pale timu yao inaongoza. Timu yao ikipigwa tu, na wao kimya na saa nyingine huanza kuzomea. Hii ni tofauti na Ulaya au Uarabuni huko, hata timu yao ikiwa imefungwa huendelea kushangilia utadhani wao ndio washindi.Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. 😭😭 Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚
Lini walijaza uwanja?Yanga inahitaji kushinda mechi kadhaa ili kurudisha imani ya watu kwenda uwanjani. Vile vile, Watanzania wengi sio mashabiki kweli wa mpira, utawaona wakishangalia pale timu yao inaongoza. Timu yao ikipigwa tu, na wao kimya na saa nyingine huanza kuzomea. Hii ni tofauti na Ulaya au Uarabuni huko, hata timu yao ikiwa imefungwa huendelea kushangilia utadhani wao ndio washindi.
Supu wanakunywa mpaka mashabiki wa simbaUna hakika wakisema kesho kutakuwa na supu ya bure kuna uwezekano supu ikakosa wanywaji kwasababu ni siku ya kazi?
Fan base ni ndogoKesho siku ya kazi tatizo 😀😀