Wananchi tunafeli wapi kununua tiketi?

Wananchi tunafeli wapi kununua tiketi?

Kwenye nyomi hii ya watu hakuna sura hata moja inayofanana na kauli mbiu "kesho ni siku ya kazi"

1732569678767.jpeg
 
Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. [emoji24][emoji24] Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc [emoji172]
Timu ina mashabiki wachache halafu ni maskini wengi wao wanawake wanaojiuza mitandaoni.Unadhani watanunua ticket bila kununuliwa?
 
#madomokaya
Tunaliweka hili sawa, watakaocheza baadaye ni Mabingwa wenu wa ligi ya NBC. Na si madomokaya.
Kwetu hata mashabiki 5 wakiingia uwanjani, timu itacheza na matokeo mazuri tutapata. Sisi siyo size yenu, tuko CAF Champions League, mna habari zetu. Zenu hatuna...

Madomokaya mnaumia, mna machungu sana na Yanga. Hii ndiyo timu ya Wananchi, lazima muipende. Hutaki meza tikiti maji, au kalia mshale. Imeisha hiyo 💉💊

#yangabingwa
🟡🟢🟡🟢🟡🟢
 
Yanga lia lia upo madam🤣
Sawa mabingwa lakini timu yenu haina watu🤣
 
Shida ni kwamba hamtaki kukubaliana na ukweli kuwa timu yenu ina mashabiki wachache.

Mkilikubali hilo mtaishi vizuri.

Lakini kama kila kitu mnachotaka kukifanya mnaangalia Simba kilikuwaje hapo mtaishia kulaumiana tu.
Anaeibisha abishe, ni kweli Yanga ina Mashabiki wachache ila Ina Wanachama wengi kuliko Simba.
 
Shida ni kwamba hamtaki kukubaliana na ukweli kuwa timu yenu ina mashabiki wachache.

Mkilikubali hilo mtaishi vizuri.

Lakini kama kila kitu mnachotaka kukifanya mnaangalia Simba kilikuwaje hapo mtaishia kulaumiana tu.
Wewe dogo unapenda sana ushabiki wa kishamba unaona ndio dili.
 
Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. 😭😭 Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚
Yanga inahitaji kushinda mechi kadhaa ili kurudisha imani ya watu kwenda uwanjani. Vile vile, Watanzania wengi sio mashabiki kweli wa mpira, utawaona wakishangalia pale timu yao inaongoza. Timu yao ikipigwa tu, na wao kimya na saa nyingine huanza kuzomea. Hii ni tofauti na Ulaya au Uarabuni huko, hata timu yao ikiwa imefungwa huendelea kushangilia utadhani wao ndio washindi.
 
Yanga ndio club yenye washabiki wengi.

Bahati mbaya hawana utamaduni wa kwenda uwanjani, ndio maana wanataka kujenga uwanja wa watazamaji 20,000.

Visingizio vipya kila siku ila ukweli ni kwamba Yanga hawana jadi ya kwenda uwanjani hajawai tokea wakajaza uwanja for love of the team.
 
Yanga inahitaji kushinda mechi kadhaa ili kurudisha imani ya watu kwenda uwanjani. Vile vile, Watanzania wengi sio mashabiki kweli wa mpira, utawaona wakishangalia pale timu yao inaongoza. Timu yao ikipigwa tu, na wao kimya na saa nyingine huanza kuzomea. Hii ni tofauti na Ulaya au Uarabuni huko, hata timu yao ikiwa imefungwa huendelea kushangilia utadhani wao ndio washindi.
Lini walijaza uwanja?
 
Mngekuwa mnahamasishana hivi kwenye mambo ya maana kama vile upigaji kura wa serikali za mitaa hii nchi ingekuwa mbali sana
Bahati mbaya hata huku kwenye mpira mmeishia kutumika kwa ajenda za wanasiasa, waarabu na waburushi
 
Hakuna kubembelezana hapa nikwenda kariakoo kamata watu wote peleka taifa.Hatuwezi kuaibika tupo kwetu.
Au maamuzi ya pili ni haya leta supu haijalishi ni supu ya mbwa au fisi wewe leta supu getini hapo Taifa.Kila mtu anagonga supu anazama ndani. Tena unanywea supu getini maana wengine wanaweza kutoroka baada ya kunywa supu
 
Back
Top Bottom