antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hukumu utaitekeleza vipi wakati wahuni hawategemei kura ya mtu. Wanashinda "kwa kishindo" kupitia wizi tu..Hukumu Yao IPO mwakani
#NASIMAMA NA MPINA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukumu utaitekeleza vipi wakati wahuni hawategemei kura ya mtu. Wanashinda "kwa kishindo" kupitia wizi tu..Hukumu Yao IPO mwakani
The guy and evidenceTuache ushabiki, je amepeleka ushahidi kama ambavyo ilihitajika? Kumbukeni hii sio awamu ya kuropoka ropoka bila data na supporting documents. Siasa za uzushi hazina nafasi
All the facts criticizing some government officials for neglecting to thrive for the country's interests directly involved in embezzlement of public funds, corruption, economic exploitation, and abusing office powers by the appointees should be publicly exposed on this social networking platform.Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane ktk uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina...
Taarifa ya Mpina ni ya hakika na inapaswa kuungwa mkono, lakini Mimi huwa siungi mkono watu walioshiriki dhuluma kipindi cha dhalimu magu. Hivyo aungwe mkono na wananchi, lakini mimi na watu wa dhuluma hapana.
Kataa Wahuni #polepoleWahuni wana nguvu!.
NASIMAMA NA MPINA.Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane ktk uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina...
Hahahah jamaa anamchukia vibaya sana 😂😂Hahahaha bwana Tindo na ugomvi wa magufuli haha sijui alikukosea nini Yule jamaa
uzi wa kumpigania muongo, mchoma nyavu za wavuvi wadogo na mpima size wa ukubwa wa samaki waliorostiwa kwa rulaBila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane ktk uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike ktk uzi huu maneno yafuatayo...

HAWA NI KUWAPIGA MAWE NA MAYAI VIZA WAKATI WA KAMPENIBila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane ktk uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike ktk uzi huu maneno yafuatayo:..