Wananchi tunamsaidiaje Mpina?
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane ktk uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina...
All the facts criticizing some government officials for neglecting to thrive for the country's interests directly involved in embezzlement of public funds, corruption, economic exploitation, and abusing office powers by the appointees should be publicly exposed on this social networking platform.

The JF platform should courageously support a pan-africanist who has chosen to speak out about what the underdogged citizens desire to drive home the message on what they want their country to be harnessed that is in favor of the majority.

Hon. Mpina is such a gentleman and mouth-piece asset delivering across the bottomline heartfelt vein communication for a good purpose.
 
Kwasababu tumeamua kukaa kimya kama wajinga, sasa wapuuzi wameamua kututawala hovyo bila aibu, inashangaza sana bunge linalojainasibu ni muwakilishi wa wananchi kumuadhibu mbunge aliyeanza kutoa taarifa kwa wananchi juu ya ufisadi wa kutisha wizara ya kilimo.

Naamini kabisa, Samia, Bashe na Tulia wote wanajitahidi kuuficha ufisadi uliofanywa wizara ya Bashe kwasababu wanahusika moja kwa moja kwenye huo wizi, hawa watatu ni maadui namba moja wa mtanganyika.

Nitasimama na Mpina siku zote, kuendelea kuongozwa na serikali iliyo chini ya Samia ni udhaifu mkubwa sana kwetu watanganyika, tumelitoa sadaka taifa letu kwa ukimya wetu. Samia hajielewi sasa Abdul ndie anaongoza taifa hovyo.
 
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane ktk uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina...
NASIMAMA NA MPINA.

Lakin nadhani kuna sehemu umekosea, hata kama nikweli spika anampinga mpina, lakin kwanin nae mpina mbunge mkomavu ule ushahidi hakuupeleka bungen? Kisha akaitisha vyombo vya habari?

Wote tunaijua nchi yetu, HOJA YAKE NI KUBWA KULIKO KOSA ALILOFANYA, ila linageuzwa lake kama ndio kubwa kuliko hoja ya SUKARI.

Narudia tena nasimama nae na ninapenda serikari impatie majibu hoja yake.
 
Unasimama na shetani aliyechoma nyavu za wavuvi wa nchi hii na kuwatia umaskini? Mnaomsapoti Mpina hamna tofauti na vijana wapumbavu wa Liberia waliomchagua dikteta Charles Taylor aliyeua wazazi wao. Wakati wa kampeni walikuwa na msemo wao wa "He killed My Ma, He killed my Pa.... I'll Vote for him"

Mpina alikuwa ni miongoni mwa viongozi makatili wa awamu ya 5 waliofanya ushenzi mwingi sana kwa wananchi wasio na hatia. Hana political legitimacy ya kunyooshea mtu kidole.
 
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane ktk uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.

Shime watanzania kila mtu aandike ktk uzi huu maneno yafuatayo...
uzi wa kumpigania muongo, mchoma nyavu za wavuvi wadogo na mpima size wa ukubwa wa samaki waliorostiwa kwa rula :BRUHMM:
 
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane ktk uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.

Shime watanzania kila mtu aandike ktk uzi huu maneno yafuatayo:..
HAWA NI KUWAPIGA MAWE NA MAYAI VIZA WAKATI WA KAMPENI
 
Back
Top Bottom