Nasimama na Spika na Bunge sisimami na Mpina
 
Ametoa ushahidi dhidi ya waziri Bashe Kwa waandishi wa habari kabla hajaukabidhi kwenye Ofisi ya Spika wa bunge.
Hapana. Ushahidi ulishakabidhiwa, lkn ulikuwa bado haujafanyiwa kazi na Kamati ya maadili ya bunge. Spika anadai kwa kufanya hivyo Kamati inapokwa madaraka yake, maana itafanya kazi (itaujadili huo ushahidi) kwa shinikizo la wananchi.
 
Mpina ana hoja,lkn hofu ni kuwa anayasema haya sababu kakosa ugali au anasukumwa na ukweli wa moyo?
 
Manabii na wanafunzi wengi wa Yesu walikuwa wauaji kabla. Hata Shetani hapo awali alikuwa malaika mkuu.

Watu hujifunza na kubadilika mkuu na tuyazingatie mabadiliko badala ya kuishi kwa historia.
Mpina na Charles Taylor hawana tofauti. Baada ya kushinda uchaguzi Taylor aliendelea kuwaua hata vijana wapumbavu waliomchagua. Mpina naye ana hasira za kukosa madaraka kwenye utawala huu wa awamu ya 6. Huyo akipewa uwaziri atarudi upya kwenye ukatili wake. Wapumbavu peke yao ndo watasimama na fedhuli kama Mpina.
 
 
Mimi na viongozi walevi wa madaraka hapana. Hata afanye vizuri vipi hawezi kupata sifa toka kwangu, sana sana atakachopatia nitaona ni wajibu wake maana analipwa mshahara.

😂 Ugomvi wenu ni mkubwa Sana,

Hebu nikuulize ni kiongozi gani unaweza kumuunga mkono ?!
 
NASIMAMA NA MPINA %100! Wezi hatuwataki kabisa!!!
 

Hakuna cha kumsaidia mtu aliyevunja kanuni. Unaagizwa ushahidi halafu unauanika kwenye vyombo vya habari ili upate sympathy. Muache apambane na hali yake.
 
😂 Ugomvi wenu ni mkubwa Sana,

Hebu nikuulize ni kiongozi gani unaweza kumuunga mkono ?!
Tido ni kama mimi tu. Mpina anazuri gani la kusifiwa? Mara hii mmesahau alivyotesa wafugaji na wavuvi? Hizo kelele ni za kutafuta kauwaziri tu.
 
Hapana. Ushahidi ulishakabidhiwa, lkn ulikuwa bado haujafanyiwa kazi na Kamati ya maadili ya bunge. Spika anadai kwa kufanya hivyo Kamati inapokwa madaraka yake, maana itafanya kazi (itaujadili huo ushahidi) kwa shinikizo la wananchi.
Na ndicho alichokitaka, kuwaprempt kamati na kusaka huruma ya wananchi, sasa kajikuta amevunja kanuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…