Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana kiburi sana tena cha kichawiJeuri ya CCM kuiba bila aibu ni kwa sababu wana uhakika wananchi hawana cha kuwafanya. Kule Kenya wameungana wanaita Vamia Bunge.
Nukuu ya Kenyata ipo sawa...Nyerere anaongoza maiti
Simama nae salama jombaa 😂,huo ukoo wa panya anatetea fursa,akiteuliwa utakuja humu kutafuta public sympathy 😂Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA NA MPINA",
Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za kumnyamazisha.
NB: Huu siyo uzi wa kupiga stori, andika hayo maneno matatu tu. Comment ya kwanza nimeonesha mfano.
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Mama yako akinitambua inatoshaMpina na Charles Taylor kwenye sentesi moja, kweli? Aidha humjui Charles Taylor au unaongeza chumvi ya kupitiliza.
Ila kwa sehemu kubwa unathibitisha ni jinsi gani usivyo jitambua.
Anatafuta uteuzi hana jipya 😂Mkuu ni kweli. Lkn watu hujifunza kutokana na makosa na kisha hubadilika.
Hata shetani alikuwa malaika mkuu. Je, tuendelee kuheshimu asili yake (alipokuwa malaika) ama tumhukumu kwa kazi zake za sasa?
Sasa acheni kulialia spika anaposimamia kanuni na sheria za bunge. Unawasilisha ushahidi halafu unauanika kwenye vyombo vya habari ili upate huruma? Acha aya
Mkuu ni kweli. Lkn watu hujifunza kutokana na makosa na kisha hubadilika.
Hata shetani alikuwa malaika mkuu. Je, tuendelee kuheshimu asili yake (alipokuwa malaika) ama tumhukumu kwa kazi zake za sasa?
Sasa acheni kulialia spika anaposimamia kanuni na sheria za bunge. Unawasilisha ushahidi halafu unauanika kwenye vyombo vya habari ili upate huruma? Acha aya
Sasa acheni kulialia spika anaposimamia kanuni na sheria za bunge. Unawasilisha ushahidi halafu unauanika kwenye vyombo vya habari ili upate huruma? Acha ayaoge.
Sio kupata huruma , Mpina ana akili nyingi na ni mzalendo kwa ushahidi ule ni wazi Spika asingeupeleka tena bungeni kuilinda serikali ya Samia aliyewaletea pesa za Kaampeni kwa michongo ile. Tunataka siasa za kizalendo sio siasa za kulinda maovu.
Mpina alikuwa na hoja nzuri tu ila amekiuka taratibu za bunge.....huwenda kwa kutokujua, au alijua ila alitaka kutafuta upepo wa kisiasa au sababu yoyote nyingine iwezekanayo...lakini all in all amekiuka utaratibu hivyo ni sahihi spika kuamua kumpeleka kwa kamati za maadili.Uzuri ni kwamba hata hiyo ripoti yake ya ushahidi still itajadiliwa(haijasitishwa) kama kawaida kwa mujibu wa taratibu za bunge.Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA NA MPINA",
Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za kumnyamazisha.
NB: Huu siyo uzi wa kupiga stori, andika hayo maneno matatu tu. Comment ya kwanza nimeonesha mfano.
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Nyie mnatakiwa mnyongwe kabisa mmefanya mpaka sasa samaki ni adim na bei aghali kwa uvuvi wenu wa kishenzi mpaka mnapiga mabomu harafu hata aibu huoni unataka urudishiwe nyavu na mabomu yenu shwain kabisa.Aseme kwanza malizetu za uvuvi alizo kwapua kwakisingizio cha uvuvi haram zipowapi atarudisha lini? Ndio nitamuelewa shetani hawezi kuwa naimani kaziyake nikupotosha tu alafu mkumbuke magu alimwita kichaa ,anaemuamini kichaa nayeye ni ............
Mkuu hujaziona? Amepeleka ila kosa lake kabla Spika na Kamati hawajapitia ushahidi wake yeye akawa ameusambaza kwenye mitandao ya kijamii! Hii haikubaliki kwa watu waliostaarabika!Tuache ushabiki, je amepeleka ushahidi kama ambavyo ilihitajika? Kumbukeni hii sio awamu ya kuropoka ropoka bila data na supporting documents. Siasa za uzushi hazina nafasi
SI unaona anatoa hadharani mambo Yao ya kifarauni wanayofanyia gizani huko ndio kuwashika vibaya.Mkuu kawashuka pabaya kivipi ila hali wao wameshikilia mpini??? Au siku hizi kwenye makali amekuwa pazuri??? 🤣 🤣 🤣
⚖️4Asimwe#
Sio ushabiki na usijitoe ufahamu mkuu ushahidi hata hapa jana uliwekwa neno kwa neno na kwa uwazi kabisa lakini cha ajabu mtu anaonekana karopokaTuache ushabiki, je amepeleka ushahidi kama ambavyo ilihitajika? Kumbukeni hii sio awamu ya kuropoka ropoka bila data na supporting documents. Siasa za uzushi hazina nafasi