KERO Responded Wananchi wa Baraki Wilayani Rorya wanachota maji yenye tope kwenda kupikia

KERO Responded Wananchi wa Baraki Wilayani Rorya wanachota maji yenye tope kwenda kupikia

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Hali ilivyo kuhusu changamoto ya ubahaba wa maji safi na salama kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo kuna takribani Kilometa 5 tu na lilipo Ziwa Victoria lakini huduma ya maji safi bado ni mtihani kwao.

===========================

Hapo ni Kata ya Baraki, Tarafa ya Suba, Tarafa ambayo anatokea Jafari Chege, Mbunge wa Jimbo la Rorya. Kata hiyo ni ya pili ukiwa unavuka maji kupitia Kivuko cha Kinesi kutoka Musoma kwenda Rorya inakadiriwa ni Km chini ya 6 kutoka Ziwa Victoria.
Video: NijuzeNews

Pia soma:

~ RUWASA: Tumekamilisha kuchimba mtaro, kurekebisha bomba lililopasuliwa, maji yanarejea Kijiji cha Baraki
~ Aweso: Changamoto ya maji Kijiji za Baraki, Wilaya ya Rorya - Mara imesababishwa na bomba kukatwa na wanaodhaniwa kuwa wafugaji
 
Wewe unashangaa tope? Kuna wengine maji ya mavi kabisa ...
 
Hao huwaambii kitu kuhusu CCM wacha yawakute kila mmoja atapokuwa tayari kutoka kudai haki viongozi watanzingatia wajibu wao
 
Hivi hiyo miradi anayozindua Aweso kiasi cha kusifiwa kila siku iko wapi?
 
Back
Top Bottom